• HABARI MPYA

  Sunday, May 31, 2020
  Saturday, May 30, 2020
  BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MTIBWA SUGAR MAZOEZINI MANUNGU

  BEKI MKONGWE, SALUM KANONI KUPELA AKIWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MTIBWA SUGAR MAZOEZINI MANUNGU

  Beki mkongwe wa Mtibwa Sugar, Salum Kanoni Kupela akikokota mpira mazoezini Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro kujiandaa kumalizi...
  MBWANA SAMATTA AFICHUA; “UMALIZIAJI AU KULENGA SHABAHA NDIYO ZOEZI NINALOLIPENDA ZAIDI”

  MBWANA SAMATTA AFICHUA; “UMALIZIAJI AU KULENGA SHABAHA NDIYO ZOEZI NINALOLIPENDA ZAIDI”

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema kwamba anapenda zaidi kujifunza kufung...
  Friday, May 29, 2020
  SIMBA NA YANGA ZINAWEZA KUKUTANA TENA NUSU FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA NA YANGA ZINAWEZA KUKUTANA TENA NUSU FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO, Simba na Yanga wanaweza kukutana kwa mara ya tatu msimu iwapo watavuka hatua ya Robo ya Fainali y...
  MECHI ZOTE ZILIZOSALIA ZA LIGI KUU TANZANIA BARA KUCHEZWA NYUMBANI NA UGENINI KUANZIA JUNI 13

  MECHI ZOTE ZILIZOSALIA ZA LIGI KUU TANZANIA BARA KUCHEZWA NYUMBANI NA UGENINI KUANZIA JUNI 13

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MECHI zilizosalia za Ligi Kuu ya Tanzania Bara itachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini kuanzia Juni 13...
  Thursday, May 28, 2020
  MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZEOZINI JANA SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA SHUGHULI

  MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZEOZINI JANA SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA SHUGHULI

  Viungo wa Simba SC, Jonas Mkude (kushoto) na Mkongo Deo Kanda (kula) wakikimbia jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam...
  KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE YANGA MAZOEZINI JANA DAR

  KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE YANGA MAZOEZINI JANA DAR

  Nahodha wa Yanga, kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto) akikimbia na beki Ali Ahmad Ali  jana katika siku ya kwanza ya timu yak...
  AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akikokota mpira jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini  kujiandaa kumal...
  Wednesday, May 27, 2020
  WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI KABLA YA KUANZA MAZOEZI LEO KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI KABLA YA KUANZA MAZOEZI LEO KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  Daktari akimpima beki wa Simba SC leo tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu y...
  WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI KUANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI KUANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  Daktari wa Yanga SC, Shecky Mngazija (kushoto) akiwapima wachezaji wa timu hiyo jana tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baad...
  Tuesday, May 26, 2020
  BAO AMBALO SAMATTA ALIWAFUNGA LIVERPOOL UWANJA WA ANFIELD LASHINDA TUZO KRC GENK

  BAO AMBALO SAMATTA ALIWAFUNGA LIVERPOOL UWANJA WA ANFIELD LASHINDA TUZO KRC GENK

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO alilofunga Mbwana Ally Samatta akiwa KRC Genk ya Ubelgji dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi ya ...
  MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI KUANZA MAZOEZI SIMBA SC KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI KUANZA MAZOEZI SIMBA SC KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere (kushoto) akiwa na Mratibu wa timu hiyo, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kima...
  Monday, May 25, 2020
  Sunday, May 24, 2020
  YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA KENNY MKAPA

  YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA KENNY MKAPA

  Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Sa...
  SIMBA SC KUANZA MAZOEZI YA PAMOJA JUMATANO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU NA ASFC

  SIMBA SC KUANZA MAZOEZI YA PAMOJA JUMATANO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU NA ASFC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wanatarjiwa kuanza mazoezi ya pamoja Jumatano baada ya kuvunja kambi tangu ka...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top