• HABARI MPYA

  Thursday, February 28, 2019
  TIBAR JOHN WA SINGIDA UNITED AENDA ULAYA KUJIUNGA NA TIMU YA JAMHURI YA CZECH

  TIBAR JOHN WA SINGIDA UNITED AENDA ULAYA KUJIUNGA NA TIMU YA JAMHURI YA CZECH

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, John Tibar George jana ameondoka nchini kwenda kujiunga ...
  IDDI NADO APIGA BAO LA KUOMBEA RADHI MBEYA CITY BAADA YA ‘KUWATOA’ KOMBE LA TFF

  IDDI NADO APIGA BAO LA KUOMBEA RADHI MBEYA CITY BAADA YA ‘KUWATOA’ KOMBE LA TFF

  Na Mwandishi Wetu, MBEYA MSHAMABULIAJI chipukizi nchini, Iddi Suleiman ‘Naldo’ jana alifunga bao pekee dakika ya 55, timu yake Mbeya City ...
  CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 DARAJANI

  CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 DARAJANI

  Pedro akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 57 kabla ya Kieran Trippier kujifunga dakika ya 84 kuwapa ushindi w...
  AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WEST HAM

  AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WEST HAM

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City kwa penalti dakika ya 59 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United usi...
  LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

  LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akifurahia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 33 na 52 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya...
  SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WATFORD

  SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WATFORD

  Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya tisa na 20 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Watfor...
  Wednesday, February 27, 2019
  DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1

  DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1

  Muargentina, Angel Di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain FC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Dijon...
  ALLIANCE WAHAMISHIE MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA

  ALLIANCE WAHAMISHIE MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA

  Na Frederick Daudi, DAR ES SALAAM NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na shughuli za hapa na pale hasa za kimichezo na masomo. Kam...
  JAPOKUWA AZAM FC NA YANGA ZINAPEWA NAFASI KUBWA ASFC, LAKINI…

  JAPOKUWA AZAM FC NA YANGA ZINAPEWA NAFASI KUBWA ASFC, LAKINI…

  Na Frederick Daud, DAR ES SALAAM KAMA kuna kitu ambacho Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya vizuri, ni kutoa nafasi ya bingwa wa k...
  KICHUYA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA 10 ENNPI YACHAPWA 3-1 SASA INASHIKA MKIA MISRI

  KICHUYA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA 10 ENNPI YACHAPWA 3-1 SASA INASHIKA MKIA MISRI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Shizza Ramadhani Kichuya jana ametokea benchi dakika 10 za ...
  Tuesday, February 26, 2019
  FIFA YAMFUNGIA MAISHA REFA WA TANZANIA KWA RUSHWA NA UPANGAJI MATOKEO

  FIFA YAMFUNGIA MAISHA REFA WA TANZANIA KWA RUSHWA NA UPANGAJI MATOKEO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) chini ya Mwenyekiti wake, Vassilios Skouris i...
  SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA LIPULI FC 3-1 SAMORA

  SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA LIPULI FC 3-1 SAMORA

  Na Mwandishi Wetu, IRINGA SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Lipuli FC 3-1...
  Monday, February 25, 2019
  AZAM FC YAIPIGA RHINO RANGERS 3-0 NA KUTINGA ‘NANE BORA’ KOMBE LA TFF

  AZAM FC YAIPIGA RHINO RANGERS 3-0 NA KUTINGA ‘NANE BORA’ KOMBE LA TFF

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imekamilisha hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ...
  HIMID MAO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO PETROJET IKISHINDA 2-0 UGENINI MISRI

  HIMID MAO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO PETROJET IKISHINDA 2-0 UGENINI MISRI

  Na Mwandishi Wetu, CAIRO KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami leo amefunga bao lake la kwanza kabisa katika klabu ya Petrojet ...
  Sunday, February 24, 2019
  YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITOA NAMUNGO RUANGWA

  YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITOA NAMUNGO RUANGWA

  Na Mwandishi Wetu, RUANGWA VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kuingia Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), m...
  MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI DIFAA HASSAN EL JADIDI YASHINDA 2-0 LIGI YA MOROCCO

  MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI DIFAA HASSAN EL JADIDI YASHINDA 2-0 LIGI YA MOROCCO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva usiku wa jana amefunga mabao yote mawi...
  MALOTA ALIVYOMKOSAKOSA PAUL RWECHUNGURA KIRUMBA 1991

  MALOTA ALIVYOMKOSAKOSA PAUL RWECHUNGURA KIRUMBA 1991

  KIPA Paul Rwechungura wa Pamba SC akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Malota Soma ‘Ball Jagler’, huku beki James Washo...
  Saturday, February 23, 2019
  SINGIDA UNITED YATINGA ROBO FAINALI ASFC BAADA YA KUIPIGA COASTAL UNION 1-0

  SINGIDA UNITED YATINGA ROBO FAINALI ASFC BAADA YA KUIPIGA COASTAL UNION 1-0

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO la kujifunga la Kennedy Kipepe dakika ya tano limeipa ushindi wa 1-0 Singida United dhidi ya Coastal ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top