YANGA YAFANYA KUFURU TAIFA Saturday, January 31, 2009 Boniphace Ambani katikati akishangilia moja ya mabao yake manne aliyofunga ILIKUWA shangwe tupu kwa mashabiki wa Yanga Jumamosi Januari 31,... Saturday, January 31, 2009
MAMBO YALIVYOKUWA LAGOS 1980... Saturday, January 31, 2009 Nahodha wa Taifa Stars, Henry Joseph (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Mauritius katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za ... Saturday, January 31, 2009
MIEMBENI YAWAFUATA WAZIMBABWE KIFUA MBELE Friday, January 30, 2009 Kipa wa Miembeni, Farouk Ramadhan KOCHA wa wawakilishi wa Zanzibar kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika timu ya Miembeni, Mkenya Tom Olaba... Friday, January 30, 2009
MAMBO YAIVA COPA COCA COLA MWANZA Friday, January 30, 2009 VIONGOZI wa vyama vya soka vya wilaya za Mwanza wametakiwa kuchukua fomu za ushiriki wa mashindano ya Copa Coca Cola yatakayowahusisha vijan... Friday, January 30, 2009
MABONDIA MORO WATAMBA KUSHINDA Friday, January 30, 2009 Francis Cheka atakayepigana na Matumla pambano kuu BAADHI ya mabondia watakaotetea mikanda yao katika michezo ya utangulizi kabla ya pambano... Friday, January 30, 2009
VODACOM KUTUMIA MIL 65 KUIBUA VIPAJI MWANZA Friday, January 30, 2009 KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom kupitia programu yake ya Cheza na Vodacom imetoa Sh. milioni 65 kwa ajili ya kuibua vipaji vya michezo... Friday, January 30, 2009
KIFAA HIKI NACHO NI HATARI Friday, January 30, 2009 Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Bakari Kondo (kulia) akichuana na beki wa Azam FC Boniphace Pawasa katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom ... Friday, January 30, 2009
WANARIADHA MAARUFU WAJA KILI MARATHON Friday, January 30, 2009 WANARIADHA maarufu duniani wanatarajia kushiriki kwenye mbio za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika mjini Moshi Machi 1 mwaka huu. John Add... Friday, January 30, 2009
DIMBA, BINGWA WADHAMINI ONYESHO LA LADY IN RED Thursday, January 29, 2009 Hawa Ismail, mmoja wa wanamitindo maarufu wa Kitanzania, anayeishi Afrika Kusini kwa sasa, je atakuwepo kwenye Lady in Red? KAMPUNI ya New H... Thursday, January 29, 2009
MASHABIKI YANGA WAWAJERUHI WACHEZAJI MTIBWA Thursday, January 29, 2009 Kipa wa Mtibwa Kado aliyedaka mpira WACHEZAJI wa Mtibwa Sugar, Shaaban Kado, Salum Ussi na Uhur... Thursday, January 29, 2009
SIMBA YAIPUMULIA NYUMA YANGA Thursday, January 29, 2009 Emeh Izuchukwu akikokota mpira SIMBA jana iliwabwaga wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF), Prisons ya... Thursday, January 29, 2009
NGASSA AIPAISHA YANGA LIGI KUU Tuesday, January 27, 2009 Mrisho Ngassa mfungaji wa bao pekee la Yanga BAO pekee la Mrisho Khalfan Ngassa, leo Jumanne limeiwezesaha Yanga kuzidi kuusogelea ubingwa ... Tuesday, January 27, 2009
ZAIN KAMPUNI BORA YA MAWASILIANO AFRIKA Monday, January 26, 2009 Dar es Salaam, Januari 26, 2009 Zain Group, imetajwa kuwa kampuni bora ya mawasiliano inayoongoza Afrik na Mashariki ya Kati mwaka 2008 na j... Monday, January 26, 2009
MAULID DILUNGA: Nyota wa kombaini ya Afrika 1973 Monday, January 26, 2009 Dilunga mwenye suti nyeusi pichani kabla ya mechi ya ufunguzi Uwanja mpya, Taifa Stars The Cranes, mwaka 2007. Nilipata fursa ya kufanya mah... Monday, January 26, 2009
SARAKASI YA ZAIN YAHAMIA BIAFRA Monday, January 26, 2009 Archelle Eric: Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo ... Monday, January 26, 2009
POLISI ASHINDA RAV4 YA ZAIN SUMBAWANGA Monday, January 26, 2009 Daniel ole Njoolay: Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Daniel ole Njoolay (kushoto) akikabidhi ufunguo na mfano wa ufunguo kwa mshindi wa kumi wa zawad... Monday, January 26, 2009
PHIRI AWALILIA HENRY JOSEPH, EMEH Monday, January 26, 2009 Patrick Phiri, kocha wa Simba KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amekiri kuwa kuondo... Monday, January 26, 2009
BANKA NJE MIEZI MIWILI SIMBA Monday, January 26, 2009 Banka wa pili kutoka kulia walioinama katika kikosi cha Simba mwaka 2007 KIUNGO wa Simba, Mohamed Banka, atakuwa nje... Monday, January 26, 2009
TWANGA PEPETA YATIMKIA MUSCAT Saturday, January 24, 2009 Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya vitu vyao BENDI ya muziki wa dansi ya African Stars maarufu kwa j... Saturday, January 24, 2009
JKT RUVU YAIBWAGA AZAM DAR Saturday, January 24, 2009 Akiwa mwenye mawazo na majonzi baada ya timu yake kulala 2-0 mbele ya Simba wiki iliyopita, ni Kocha wa Villa Squad, Kenny Mwaisabula ambaye... Saturday, January 24, 2009
TFF INAPOLEA MADUDU, SOKA ITAENDELEA KWELI? Saturday, January 24, 2009 Rais wa TFF, Leodegar Chilla Tenga ... Saturday, January 24, 2009
CHUJI: NINA HAMU KWELI NA HUYO ABOUTREIKA WENU Saturday, January 24, 2009 KIUNGO wa klabu ya Yanga, Athumani Iddi ‘Chuji’, amesema kwamba pamoja na kuwa na matumaini ya kuitoa Etoile d’ Or Mironstsy ya Comoro karik... Saturday, January 24, 2009
NDIKUMANA WA SIMBA AULA UBELGIJI Saturday, January 24, 2009 MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Suleiman Yamin Ndikumana (PICHANI KUSHOTO)amenunuliwa na klabu ya daraja Pili nch... Saturday, January 24, 2009
KILIMANJARO YALETA FARAJA SIMBA, YANGA Friday, January 23, 2009 Jumapili ya Agosti 18, mwaka jana, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager, ilisaini mkataba wa kuzidha... Friday, January 23, 2009
YANGA SC: Mabingwa wenye ari mpya na Kilimanjaro Premium Lager Friday, January 23, 2009 KLABU bingwa ya soka Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, Agosti 18 mwaka 2008 ilipokea habari njema nyingine, ambayo ni kupata mdhamini mpya, ... Friday, January 23, 2009
UDHAMINI WA KILIMANJARO: Simba sasa mambo poa Friday, January 23, 2009 Makamu Mwenyekiti wa Simba, Omar Gumbo akimuonyesha kocha wa Simba, Patrick Phiri jezi za wadhamini wao, Kilimanjaro. TANGU kumpoteza mdham... Friday, January 23, 2009
WABOGOJO NAYE ALIKUWEPOO... Friday, January 23, 2009 Mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Zain Mama Afrika Sarakasi, Athuman Ford 'Wabogojo' akionyesha vimbwanga wakati wa mazoezi y... Friday, January 23, 2009
MAMBO YA ZAIN HAYOOOOOO, USIPIME Friday, January 23, 2009 Mkufunzi kutoka Ubelgiji, Archelle Eric (kulia) akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya viungo kwa mmoja wa wacheza sarakasi wa kikundi cha Z... Friday, January 23, 2009
JUMA NASSOR PONDAMALI: Kipa aliyeweka rekodi kwa mbwembwe, ngumi na vituko uwanjani Friday, January 23, 2009 Pondamali (kushoto) akiwa na Ivo Mapunda na mahmoud zubeiry INGAWAJE bado anapenda kuvaa mavazi ya u... Friday, January 23, 2009