• HABARI MPYA

  Tuesday, March 31, 2020
  MJUMBE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA KLABU YA SIMBA, IDDI MBITA AFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI DAR

  MJUMBE WA KAMATI YA UCHAGUZI YA KLABU YA SIMBA, IDDI MBITA AFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI DAR

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba, Idd Hashimu Mbitta amefariki dunia Alfajiri ya ...
  HUU NDIYO 'MSOSI' ANAOGONGA KIUNGO MSHAMBULIAJI HATARI WA YANGA SC, BERNARD MORRISON, MBOGA...

  HUU NDIYO 'MSOSI' ANAOGONGA KIUNGO MSHAMBULIAJI HATARI WA YANGA SC, BERNARD MORRISON, MBOGA...

  Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison akiwa ameshika ugali wa dona kabla ya kjuanza kula katika picha hii ambayo ameipo...
  Monday, March 30, 2020
  Sunday, March 29, 2020
  KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA LITA 10,000 ZA MAJI SAFI KWAO MATHARE KUSAIDIA JAMII DHIDI YA CORONA

  KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA LITA 10,000 ZA MAJI SAFI KWAO MATHARE KUSAIDIA JAMII DHIDI YA CORONA

  KIUNGO wa Simba SC, Francis Kahata Nyambura leo ametoa msaada wa maji safi lita 10, 000 katika eneo la Mathare nyumbani kwao, Jijini Nair...
  NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO NYUMBANI LUBUMBASHI

  NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO NYUMBANI LUBUMBASHI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ya viungo nyumbani kwake mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Ki...
  Saturday, March 28, 2020
  MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO, STAHMIL MBONDE NAYE 'ACHUKUA JIKO' LEO MAPEMAA

  MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO, STAHMIL MBONDE NAYE 'ACHUKUA JIKO' LEO MAPEMAA

  Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Stahmil Mbonde akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa leo Jijini Dar es Salaam Mshambu...
  NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN IDDI CHILUNDA AUAGA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA DAR

  NYOTA WA KLABU YA AZAM FC NA TAiFA STARS SHAABAN IDDI CHILUNDA AUAGA UKAPERA BAADA YA KUFUNGA NDOA DAR

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda (kushoto) akimvisha pete mkewe baada ya kufunga ndoa jana Jijini Dar es Salaam Mshambul...
  MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA NYASA BIG BULLETS YA MALAWI

  MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA NYASA BIG BULLETS YA MALAWI

  Mshambuliaji chipukizi Mtanzania, Meshack Suleiman mwenye umri wa miaka 22 akisaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Nyasa Big Bullets, za...
  Friday, March 27, 2020
  Thursday, March 26, 2020
  UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM

  UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM

  Umati wa watu uliojitokeza kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Asha Muhaji jioni ya leo kwenye makaburi y...
  KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA

  KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA

  Winga Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison akifanya mazoezi ya kuruka kamba katika maegesho ya magari kwenye nyumba anayoishi eneo la Mbe...
  Wednesday, March 25, 2020
  MBWANA SAMATTA AONYESHA YEYE NI “CHIZI MABENZI” BAADA YA KUNUNUA BENZ YA TATU ULAYA

  MBWANA SAMATTA AONYESHA YEYE NI “CHIZI MABENZI” BAADA YA KUNUNUA BENZ YA TATU ULAYA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameonyesha yeye ni mpenzi mno wa gari aina ya ...
  Tuesday, March 24, 2020
  MTANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, SIMON MSUVA AAMUA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA KWA KUOGELEA

  MTANZANIA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA MOROCCO, SIMON MSUVA AAMUA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA KWA KUOGELEA

  Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akcheza kwenye bwawa la kuogelea nchini Morocco ambako anachezea klabu...
  TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA JAPAN OKTOBA

  TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA JAPAN OKTOBA

  Na Mwandishi Wetum DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imepata Nafasi ya kwenda  kushiriki katika mashindano ya Du...
  KASEJA AJIFUA KWA BIDII BAADA YA KUPONA GOTI ILI AREJESHWE TAIFA STARS AKACHEZE CHAN

  KASEJA AJIFUA KWA BIDII BAADA YA KUPONA GOTI ILI AREJESHWE TAIFA STARS AKACHEZE CHAN

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesema kwamba atapambana kurejesha kiwango chake baada ya kupona maumiv...
  NDAYIRAGIJE ASEMA ATALAZIMIKA KUUNDA UPYA KIKOSI CHA TAIFA STARS RATIBA MPYA IKITOKA

  NDAYIRAGIJE ASEMA ATALAZIMIKA KUUNDA UPYA KIKOSI CHA TAIFA STARS RATIBA MPYA IKITOKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije amesema atalazimika kuita wachezaji ...
  Sunday, March 22, 2020
  KIKOSI CHA 82 RANGERS SHINYANGA KILICHOIKOMALIA SIMBA SC 2002

  KIKOSI CHA 82 RANGERS SHINYANGA KILICHOIKOMALIA SIMBA SC 2002

  KIKOSI cha 82 Rangers ya Shinyanga kabla ya mechi na Simba SC iliyomalizika kwa sare ya 2-2  Agosti 31, mwaka 2002 Uwanja wa Kambarage mk...
  Saturday, March 21, 2020
  KARIA ATAHADHARISHA KLABU KUTOWARUHUSU WACHEZAJI NA MAKOCHA WAKE WA KIGENI KUREJEA KWAO

  KARIA ATAHADHARISHA KLABU KUTOWARUHUSU WACHEZAJI NA MAKOCHA WAKE WA KIGENI KUREJEA KWAO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amezitahadharisha klabu kutowaruhusu wachezaji, ...
  Friday, March 20, 2020
  BERNARD MORRISON KIBOKO YA SIMBA SC ATIWA KITANZI JANGWANI, ASAINI MKATABA YANGA SC HADI JUNI 2022

  BERNARD MORRISON KIBOKO YA SIMBA SC ATIWA KITANZI JANGWANI, ASAINI MKATABA YANGA SC HADI JUNI 2022

  Kiungo mshambuliaji, Mghana Benard Morrison (kushoto) akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kulia) le...
  KIGOGO YANGA SC AKIWA KWENYE KIKAO CHA MAJADILIANO YA MKATABA MPYA NA NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI "MUTU YA KONGO"

  KIGOGO YANGA SC AKIWA KWENYE KIKAO CHA MAJADILIANO YA MKATABA MPYA NA NAHODHA PAPY KABAMBA TSHISHIMBI "MUTU YA KONGO"

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kushoto) akiwa kwenye kikao Nahodha wa klabu hiyo, Papy Kabamba Tshishim...
  Wednesday, March 18, 2020
  HAJAMSAHAU ‘MAMA WATOTO’, MAYWEATHER AFIWA NA MJOMBA

  HAJAMSAHAU ‘MAMA WATOTO’, MAYWEATHER AFIWA NA MJOMBA

  BONDIA Floyd Mayweather amepata pigo baada ya kufiwa na mjomba wake, Roger Mayweather aliyetoa mchango mkubwa katika mafanikio yake ya ulin...
  GARDIEL MICHAEL MBAGA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUREJESHA NAFASI YAKE SIMBA SC

  GARDIEL MICHAEL MBAGA ANAVYOJIFUA KWA BIDII KUREJESHA NAFASI YAKE SIMBA SC

  Beki aliyepoteza nafasi kikosi cha kwanza Simba SC, Gardiel Michael Mbaga kias cha kuachwa hadi timu ya taifa akijifua gym kujiweka fiti ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top