• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 31, 2017
  NDUNDA ‘AJIACHIA’ NA NIMAA MCHUMBA WA ZAMANI WA MANYIKA

  NDUNDA ‘AJIACHIA’ NA NIMAA MCHUMBA WA ZAMANI WA MANYIKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIPA mpya wa Simba, Said Mohammed ‘Ndunda’ ameposti picha akiwa na mchumba wa kipa wa zamani wa klabu hiy...
  WACHEZAJI CHELSEA WAKIZURULA MITAA YA JIJI LA ROMA

  WACHEZAJI CHELSEA WAKIZURULA MITAA YA JIJI LA ROMA

  Marcos Alonso (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa Chelsea wakizurula kwenye mitaa ya Jiji la Roma leo kabla ya mchezo wa Kundi C Lig...
  KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY

  KANE YUKO FITI KUWAVAA REAL MADRID KESHO WEMBLEY

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa mazoezini na wenzake leo baada ya kupona maumivu ya nyama za paja wakijiandaa na mche...
  SINGIDA UNITED WAKATAA UNDUGU NA YANGA, WASEMA JUMAMOSI ACHA ‘KICHAFUKE’ NAMFUA

  SINGIDA UNITED WAKATAA UNDUGU NA YANGA, WASEMA JUMAMOSI ACHA ‘KICHAFUKE’ NAMFUA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM UONGOZI wa Singida United umesema kwamba uhusiano wao na Yanga ni wa kawaida na hautaingilia matokeo ya ...
  HUYU HAPA MFALME ANAKUJA LONDON KUWASHIKA SPURS

  HUYU HAPA MFALME ANAKUJA LONDON KUWASHIKA SPURS

  Cristiano Ronaldo na Toni Kroos wakiwa kwenye ndege wakati Real Madrid inasafiri kwenda London kwa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ula...
  SIMBA WAMSHUTUMU REFA SASII KUWABEBA YANGA...WADAI ALIWANYIMA PENALTI MBILI ZA HALALI

  SIMBA WAMSHUTUMU REFA SASII KUWABEBA YANGA...WADAI ALIWANYIMA PENALTI MBILI ZA HALALI

  Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KLABU ya Simbe imelalamika kunyimwa penalti mbili na refa Heri Sasii katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom T...
  MANCHESTER UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA LOWRY

  MANCHESTER UNITED WALIVYOINGIA KAMBINI JANA LOWRY

  Mshambuliaji nyota, Romelu Lukaku akiwasili katika hoteli ya  Lowry   jana usiku ambako timu yake, Manchester United imeweka kambi kujian...
  Jumatatu, Oktoba 30, 2017
  BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO LONDON

  BALE YU TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA SPURS JUMATANO LONDON

  Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid leo kujiandaa na mchezo wa Kundi H, Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano dhid...
  PRISONS YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 NA KUSOGEA ANGA ZA UBINGWA LIGI KUU

  PRISONS YAICHAPA RUVU SHOOTING 1-0 NA KUSOGEA ANGA ZA UBINGWA LIGI KUU

  Na Princess Asia, MBEYA TIMU ya Tanzania Prisons imejisogeza anga za ubingwa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo ...
  MBEYA CITY WATAKA KUMALIZIA HASIRA ZAO KWA SIMBA

  MBEYA CITY WATAKA KUMALIZIA HASIRA ZAO KWA SIMBA

  Na David Nyembe, MBEYA TIMU ya Mbeya City imewataarifu Simba SC, kwamba waende Mbeya wakijua wafungwa katika mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vo...
  BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABINGWA KESHO

  BARCELONA WAIFUATA OLYMPIAKOS UGIRIKI LIGI YA MABINGWA KESHO

  Lionel Messi akipanda ndege Uwanja wa Ndege wa El Prat wakati kikosi cha Barcelona kikisafiri kwenda Athens, Ugiriki leo kwa ajili ya mch...
  MSUVA AENDELEA KUPIKA MABAO DIFAA JADIDA YAUA 3-0 LIGI KUU

  MSUVA AENDELEA KUPIKA MABAO DIFAA JADIDA YAUA 3-0 LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, JADIDA WINGA wa kimataifa wa Tanzania jana ameendelea kuwa mpishi mzuri wa mabao kwa timu yake, Difaa Hassan El Jadida ...
  Jumapili, Oktoba 29, 2017
  LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENGLAND

  LEICESTER CITY YAITANDIKA 2-0 EVERTON LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji Jamie Vardy (kushoto) akiifungia Leicester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mch...
  NEYMAR AKUTANA TENA NA MESSI NA SUAREZ, WAPIGA STORI

  NEYMAR AKUTANA TENA NA MESSI NA SUAREZ, WAPIGA STORI

  Neymar (kushoto) akizungumza na wachezaji wenzake wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi (katikati) na Luis Suarez baada ya kukutana hivi k...
  REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATALUNYA

  REAL MADRID WACHAPWA 2-1 NA KITIMU KIDOGO CHA KATALUNYA

  Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wa La Liga ugenini mbele ya wenyeji,  Gir...
  TANZANIA BARA YANG'ARA MBIO ZA KILOMITA 10 KMKM ZANZIBAR

  TANZANIA BARA YANG'ARA MBIO ZA KILOMITA 10 KMKM ZANZIBAR

  Na Salum Vuai, ZANZIBAR USHINDI wa kwanza kwa upande wa wanawake na wanaume kwenye mbio za kilomita 10 katika mashindano yaliyoandaliwa na...
  MTIBWA YASHINDWA KUZISHUSHA SIMBA, YANGA, YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA SINGIDA UNITED MANUNGU

  MTIBWA YASHINDWA KUZISHUSHA SIMBA, YANGA, YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA SINGIDA UNITED MANUNGU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTIBWA Sugar imeshindwa kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kulazimishwa sare...
  SAMATTA AFIKISHA MECHI 69 GENK IKITOA SARE 0-0 UGENINI

  SAMATTA AFIKISHA MECHI 69 GENK IKITOA SARE 0-0 UGENINI

  Na Mwandishi Wetu, KORTRIJK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza mechi yake ya 69, timu yake, KRC Genk...
  BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO KAZINI

  BIN ZUBEIRY, WAMBURA NA KINGOBA ENZI ZA UJANA WAO KAZINI

  Waandishi wa habari za michezo, kutoka kulia, Mahmoud Zubeiry wa gazeti la Dimba, Mgaya Kingoba wa gazeti la Mtanzania na Boniphace Wambu...
  MTIBWA SUGAR KUREJEA KILELENI LIGI KUU LEO?

  MTIBWA SUGAR KUREJEA KILELENI LIGI KUU LEO?

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTIBWA Sugar inaweza kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo kama itashinda dhidi ya S...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top