• HABARI MPYA

  Sunday, February 28, 2021
  SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

  SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

   SIMBA SC itamenyana na Kagera Sugar hapa Dar es Salaam  na Yanga SC itaifuata Tanzania Prisons huko Sumbawanga mkoani Rukwa katika Hatua ya...
  Saturday, February 27, 2021
  Friday, February 26, 2021
  SIMBA SC YAENDELEA KUNG'ARA, YAWATANDIKA AFRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA SC YAENDELEA KUNG'ARA, YAWATANDIKA AFRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA SC imetinga Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup baada ya...
  KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA

  KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA

  KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Paulsen ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 43 kwa maandalizi ya mechi...
  Thursday, February 25, 2021
  NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA

  NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkaoni Lindi imefanikiwa kwenda Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa 3-1 na Primiero ...
  Wednesday, February 24, 2021
  SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO

  SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO

  TANZANIA Boys imepangwa Kundi B pamoja na Algeria, Kongo na Nigeria katika Fainali za AFCON U17 nchini Morocco Julai mwaka huu. Serengeti Bo...
  GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0

  GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0

  MSHAMBULIAJI Mfaransa, Olivier Giroud jana amefunga bao zuri la tik tak dakika ya 68 akiiwezesha Chelsea kushinda 1-0 dhidi ya Atletico Madr...
   MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD CASABLANCA YASHINDA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA

  MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD CASABLANCA YASHINDA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA

  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amecheza kipindi kimoja tu, timu yake Wydad Athletic Club, maarufu W...
  Tuesday, February 23, 2021
  SIMBA SC YAITWANGA AL AHLY YA MISRI 1-0 NA KUPANDA KILELENI KUNDI A LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMBA SC YAITWANGA AL AHLY YA MISRI 1-0 NA KUPANDA KILELENI KUNDI A LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba Sports Club wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ...
  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU CHAMAZI

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU CHAMAZI

    AZAM FC wamelazimshwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jij...
  NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE FAINALI ZA AFCON U20 BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MOROCCO MAURITANIA

  NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE FAINALI ZA AFCON U20 BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MOROCCO MAURITANIA

  TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, AFCON U20 baada ya kuchapwa ma...
  Monday, February 22, 2021
  NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO

  NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itapangwa Kundi D itafuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa mujibu wa ratiba iliyo...
  MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR

  MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR

  SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa B...
   NAMUNGO FC YATANGULIZA MGUU MMOJA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 1 PRIMIERO DE AGOSTO 6-2

  NAMUNGO FC YATANGULIZA MGUU MMOJA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 1 PRIMIERO DE AGOSTO 6-2

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Namungo FC imetanguliza mguu mmoja hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi ...
  Sunday, February 21, 2021
  Friday, February 19, 2021
  NGORONGORO HEROES YAOKOTA POINTI YA KWANZA AFCON U20 BAADA YA SARE YA 1-1 NA GAMBIA LEO NCHINI MAURITANIA

  NGORONGORO HEROES YAOKOTA POINTI YA KWANZA AFCON U20 BAADA YA SARE YA 1-1 NA GAMBIA LEO NCHINI MAURITANIA

  TANZANIA imeokota pointi ya kwanza katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) baada ya sa...
  MAN UNITED YAICHAPA REAL 4-0 NA KUTINGA UEFA EUROPA LEAGUE

  MAN UNITED YAICHAPA REAL 4-0 NA KUTINGA UEFA EUROPA LEAGUE

  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad, mabao y...
  AZAM FC YAZINDUKA NA KUWACHAPA MBEYA CITY MABAO 2-1 KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA

  AZAM FC YAZINDUKA NA KUWACHAPA MBEYA CITY MABAO 2-1 KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA

  AZAM FC jana imezinduka na kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, ...
  Thursday, February 18, 2021
  MORRISON AING'ARISHA SIMBA SC MUSOMA, AFUNGA BAO PEKEE LA USHINDI DHIDI YA BIASHARA UNITED

  MORRISON AING'ARISHA SIMBA SC MUSOMA, AFUNGA BAO PEKEE LA USHINDI DHIDI YA BIASHARA UNITED

  Na Asha Said, MUSOMA BAO pekee la winga Mghana, Benard Morrison dakika ya 22 leo limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, B...
  MAN CITY WAZIDI KUPAA ENGLAND BAADA YA KUIPIGA EVERTON 3-1

  MAN CITY WAZIDI KUPAA ENGLAND BAADA YA KUIPIGA EVERTON 3-1

  TIMU ya Manchester City jana imeshinda 3-1 dhidi ya Everton FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Man Ci...
  YANGA SC WASAWAZISHA MARA TATU MFULULIZO KUPATA SARE YA 3-3 NA KAGERA SUGAR LIGI KUU DAR

  YANGA SC WASAWAZISHA MARA TATU MFULULIZO KUPATA SARE YA 3-3 NA KAGERA SUGAR LIGI KUU DAR

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC jana walilazimika kusawazisha mara tatu mfululizo kupata sare ya...
  Wednesday, February 17, 2021
  JENNIFER BRADY ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN

  JENNIFER BRADY ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN

  MCHEZAJI bora namba 22 duniani, Jennifer Brady ametinga Nusu Fainali ya Australian Open 2021 baada ya kutoka nyuma na kumfunga Mmarekani mwe...
  MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA HUNGARY LIVERPOOL YASHINDA 2-0

  MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA HUNGARY LIVERPOOL YASHINDA 2-0

  MABAO ya Mohamed Salah dakika ya 53 na Sadio Mane dakika ya 58 jana yaliipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya RB Leipzig katika mchezo wa kw...
  MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA BARCA 4-1 CAMP NOU

  MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA BARCA 4-1 CAMP NOU

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe Lottin jana amepiha hat trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 65 na 85 kuiwezesha Paris...
  NGORONGORO HEROES YAANZA VIBAYA MICHUANO YA AFCON U20 MAURITANIA, YACHARAZWA 4-0 NA GHANA

  NGORONGORO HEROES YAANZA VIBAYA MICHUANO YA AFCON U20 MAURITANIA, YACHARAZWA 4-0 NA GHANA

  TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa kwa Vijana chini ya umri wa ...
  CAF YAAMUA NAMUNGO NA PRIMIERO DE AGOSTO MECHI ZOTE MBILI ZICHEZWE TANZANIA NDANI YA SAA 72

  CAF YAAMUA NAMUNGO NA PRIMIERO DE AGOSTO MECHI ZOTE MBILI ZICHEZWE TANZANIA NDANI YA SAA 72

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya Primiero de Agosto...
  Tuesday, February 16, 2021
  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA KUREJEA NNE BORA

  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA KUREJEA NNE BORA

  MABAO ya Olivier Giroud dakika ya 31 na Timo Werner  dakika ya 39 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchez...
  Monday, February 15, 2021
  TFF YAMTAMBULISHA MDENMARK KIM POULSEN KUWA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU

  TFF YAMTAMBULISHA MDENMARK KIM POULSEN KUWA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtambulisha Mdenmark Kim Polusen kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars akichukua n...
  SIMBA SC YAREJEA DAR BAADA YA KUWAPIGA AS VITA KWAO MECHI YA UFUNGUZI MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMBA SC YAREJEA DAR BAADA YA KUWAPIGA AS VITA KWAO MECHI YA UFUNGUZI MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  KIKOSI cha Simba SC kimerejea jana Jijini Dar es Salaam kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako Ijumaa walipata ushin...
  NGORONGORO HEROES WAKIPASHA JIJINI NOUADHIBOU KUELEKEA MECHI NA GHANA AFCON U20 KESHO

  NGORONGORO HEROES WAKIPASHA JIJINI NOUADHIBOU KUELEKEA MECHI NA GHANA AFCON U20 KESHO

  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wakifanya mazoei jana Jijini Nouadhibou nchini Mauritania ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top