• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 31, 2016
  CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU

  CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU

  Winga wa Chelsea, Juan Cuadrado amekamilisha uhamisho wake wa kurejea Juventus kwa mkopo wa miaka mitatu, klabu hiyo ya Italia ikilipa Pa...
  CHELSEA YAMSAINI ALONSO KWA PAUNI MILIONI 23

  CHELSEA YAMSAINI ALONSO KWA PAUNI MILIONI 23

  Beki wa kushoto,  Marcos Alonso akisaini mkataba wa kujiunga na  Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 23 kutoka Fiorentina ya Italia   PICHA ...
  Jumanne, Agosti 30, 2016
  YANGA WAKACHA KESI YA KESSY TFF, WAAMBIWA WASIPOTOKEA NA JUMAPILI IMEKULA KWAO

  YANGA WAKACHA KESI YA KESSY TFF, WAAMBIWA WASIPOTOKEA NA JUMAPILI IMEKULA KWAO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji Jumapili ya Septemba 4, 2016 inatarajiwa kutoa hukumu ya s...
  BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR KWA MKOPO

  BARCA YASAJILI STRAIKA WA VALENCIA, YAMTOA MUNIR KWA MKOPO

  Mshambuliaji Paco Alcacer akiwa amepozi na jezi ya Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 27 kutoka Valencia, zote za H...
  REMY WA CHELSEA ATUA CRYSTAL PALACE KWA MKOPO

  REMY WA CHELSEA ATUA CRYSTAL PALACE KWA MKOPO

  Mshambuliaji Loic Remy akiwa ameshika jezi ya  Crystal Palace baada ya  kukamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu kujiunga na kikosi ch...
  Jumatatu, Agosti 29, 2016
  MKWASA AMUITA STARS KIPA ALIYEIKATALIA SIMBA JUMAMOSI TAIFA

  MKWASA AMUITA STARS KIPA ALIYEIKATALIA SIMBA JUMAMOSI TAIFA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa, amefanya mabadiliko kwenye...
  MECHI YA YANGA NA JKT RUVU YAAHIRISHWA

  MECHI YA YANGA NA JKT RUVU YAAHIRISHWA

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga SC na JKT Ruvu uliokuwa ufanyike Jumatano Uwanja...
  KIPA NAMBA 1 CHELSEA AJIONEA MWENYEWE SHUGHULI LA SAMATTA AKAMUAMBIE CONTE

  KIPA NAMBA 1 CHELSEA AJIONEA MWENYEWE SHUGHULI LA SAMATTA AKAMUAMBIE CONTE

  Na Mwandishi Wetu, GENK KIPA namba moja wa Chelsea, Thibaut Nicolas Marc Courtois jana alimshuhudia vizuri mshambuliaji wa Tanzania, Mbwan...
  Jumapili, Agosti 28, 2016
  RAKITIC AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAUA 1-0

  RAKITIC AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAUA 1-0

  Ivan Rakitic akiifungia bao pekee Barcelona ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga Uwanja wa San Ma...
  ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI...

  ANGEFUNGA LINGEKUWA BAO BORA LA MSIMU, LAKINI...

  Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akibinjuka staili ya baiskeli kuunganisha krosi ya beki Hassan Kessy katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom...
  STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM

  STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAIPA 3-1 WEST HAM

  Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ikishinda 3-1 dhidi ya West Ham U...
  YANGA YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAITANDIKA 3-0 AFRICAN LYON

  YANGA YAANZA NA MOTO LIGI KUU, YAITANDIKA 3-0 AFRICAN LYON

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza vizuri Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kushinda mabao 3-0...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top