• HABARI MPYA

  Sunday, September 30, 2018
  MECHI YA MAHASIMU WA JADI, SIMBA NA YANGA YAMALIZIKA KWA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA

  MECHI YA MAHASIMU WA JADI, SIMBA NA YANGA YAMALIZIKA KWA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA

  Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga SC umemalizika kwa sare ya bila k...
  BALE ALIUMIA JANA REAL MADRID IKILAZIMISHWA SARE NA ATLETICO

  BALE ALIUMIA JANA REAL MADRID IKILAZIMISHWA SARE NA ATLETICO

  Gareth Bale jana aliichezea kwa dakika tu 45 Real Madrid dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kabla ya kutolewa kufuatia kuumia...
  CRISTIANO RONALDO JANA ALISETI MBILI JUVE IKIUA 3-1 SERIE A

  CRISTIANO RONALDO JANA ALISETI MBILI JUVE IKIUA 3-1 SERIE A

  Cristiano Ronaldo wa akionyesha uwezo wake katika mchezo wa Serie A Juventus ikishinda 3-1 dhidi ya Napoli Uwanja wa Allianz mjini Torino...
  ZAHERA AMSIMAMISHA MAKAMBO KAMA MSHAMBULIAJI PEKEE YANGA SC MECHI NA SIMBA LEO

  ZAHERA AMSIMAMISHA MAKAMBO KAMA MSHAMBULIAJI PEKEE YANGA SC MECHI NA SIMBA LEO

  Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amemuanzisha Mkongo mwenzake, Heritier Makambo kama mshambuliaji pekee kwa a...
  WEZI WAVAMIA MAKAO MAKUU YA KLABU YA LIPULI FC IRINGA, WAVUNJA NA KUIBA JEZI ZOTE ZA TIMU

  WEZI WAVAMIA MAKAO MAKUU YA KLABU YA LIPULI FC IRINGA, WAVUNJA NA KUIBA JEZI ZOTE ZA TIMU

  Na Mwandishi Wetu, IRINGA OFISI za klabu ya Lipuli FC mjini Iringa zimevamiwa na watu wasiojulikana ambao wameiba jezi zote za timu hiyo z...
  KUELEKEA PAMBANO LA WATANI SAA 11:00 JIONI TAIFA; SIMBA SC WANATOKEA MBEZI BEACH, YANGA WANATOKEA MANZESE

  KUELEKEA PAMBANO LA WATANI SAA 11:00 JIONI TAIFA; SIMBA SC WANATOKEA MBEZI BEACH, YANGA WANATOKEA MANZESE

  Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM WATANI wa jadi wanaingia kwenye mchezo wa leo wakitoka kwenye mazingira tofauti, Yanga SC wakitokea Manzese ...
  CAF YAITHIBITISHA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA FAINALI ZA AFCON 17 MWAKANI

  CAF YAITHIBITISHA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA FAINALI ZA AFCON 17 MWAKANI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imeithibitisha rasmi Tanzania kuwa wenyeji wa Faina...
  KOCHA MSAIDIZI AZAM FC, JUMA MWAMBUSI AWATAKA MAREFA KUTENDA HAKI LIGI KUU

  KOCHA MSAIDIZI AZAM FC, JUMA MWAMBUSI AWATAKA MAREFA KUTENDA HAKI LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Juma Mwambusi, ameweka wazi kuwa timu...
  KIKOSI CHA SIMBA SC MECHI NA WATANI HIKI HAPA; OKWI, CHAMA NA KAGERE WOTE WANAANZA

  KIKOSI CHA SIMBA SC MECHI NA WATANI HIKI HAPA; OKWI, CHAMA NA KAGERE WOTE WANAANZA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mbelgiji wa Simba SC, Patrick J Aussems amewaanzisha kwa pamoja washambuliaji Emmanuel Okwi na Medd...
  KASEJA ASEMA KMC WANAELEKEZA NGUVU ZAO KWENYE MCHEZO UJAO NA KAGERA SUGAR

  KASEJA ASEMA KMC WANAELEKEZA NGUVU ZAO KWENYE MCHEZO UJAO NA KAGERA SUGAR

  Na Mwandishi Wetu, MWANZA KIPA mkongwe wa KMC, Juma Kaseja amesema kwamba wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Tanz...
  KATWILA ASEMA MTIBWA SUGAR HAWADHARAU MECHI KWA SABABU LIGI KUU MSIMU HUU NGUMU

  KATWILA ASEMA MTIBWA SUGAR HAWADHARAU MECHI KWA SABABU LIGI KUU MSIMU HUU NGUMU

  Na Mwandishi Wetu, MOROGORO KOCHA wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amesema kwamba wao hawadharau mechi kwa sababu Ligi Kuu Tanzania Bara ms...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top