• HABARI MPYA

  Friday, June 30, 2023
  NI MTIBWA NA GEITA GOLD FAINALI LIGI YA VIJANA U20

  NI MTIBWA NA GEITA GOLD FAINALI LIGI YA VIJANA U20

  TIMU za Mtibwa Sugar na Geita Gold zimefanikiwa kwenda Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya kuzitoa Azam FC na K...
  Thursday, June 29, 2023
  Wednesday, June 28, 2023
  AZAM, MTIBWA, KAGERA NA GEITA GOLD ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA U20

  AZAM, MTIBWA, KAGERA NA GEITA GOLD ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA U20

  TIMU za Azam FC, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar na Geita Gold zimefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Vijana U20 baada ya ushindi kwenye mec...
  YANGA YATOZWA FAINI KWA MASHABIKI KUSHAMBULIA STEWARDS SOKOINE

  YANGA YATOZWA FAINI KWA MASHABIKI KUSHAMBULIA STEWARDS SOKOINE

  KLABU ya Yanga imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya mashabiki wake kuwarushia chupa walinzi wa Uwanja wa Sokoine wakati wa mchezo wa Lig...
  Tuesday, June 27, 2023
  SIMBA NA AZAM ZOTE ‘LONYA LONYA’ LIGI YA VIJANA U20

  SIMBA NA AZAM ZOTE ‘LONYA LONYA’ LIGI YA VIJANA U20

  TIMU za Simba na Yanga zimekamilisha mechi zao za makundi bila ushindi katika Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20, michuano inayoendele...
  Monday, June 26, 2023
  MTIBWA, GEITA GOLD ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA U20

  MTIBWA, GEITA GOLD ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA U20

  MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Vijana U20 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting katika...
  Sunday, June 25, 2023
  Saturday, June 24, 2023
  SIMBA NA YANGA ZALA VICHAPO, AZAM YASHINDA LIGI YA U20

  SIMBA NA YANGA ZALA VICHAPO, AZAM YASHINDA LIGI YA U20

  VIGOGO, Simba na Yanga wameendelea kuboronga katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya wote kufungwa katika mechi za leo ...
  MASHUJAA WAIPIGA TENA MBEYA CITY PALE PALE SOKOINE NA KUPANDA LIGI KUU

  MASHUJAA WAIPIGA TENA MBEYA CITY PALE PALE SOKOINE NA KUPANDA LIGI KUU

  TIMU ya Mashujaa ya Kigoma imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mch...
  Friday, June 23, 2023
  MTIBWA SUGAR YAENDELEZA UBABE LIGI YA VIJANA U20

  MTIBWA SUGAR YAENDELEZA UBABE LIGI YA VIJANA U20

  MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Namu...
  NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA

  NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA

  KLABU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi imemtambulisha kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni na katikati, Erast...
  Thursday, June 22, 2023
  COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO

  COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO

  TIMU ya Coastal Union ya Tanga imetangaza kuachana na wachezaji saba baada ya kumalizika msimu wakijakilishia kubaki Ligi Kuu ya NBC Tanzani...
  Wednesday, June 21, 2023
  MTIBWA SUGAR YAANZA NA MOTO LIGI YA VIJANA U20

  MTIBWA SUGAR YAANZA NA MOTO LIGI YA VIJANA U20

  MABINGWA watetezi, Mtibwa Sugar wameanza vyema Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Mbeya City kati...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top