• HABARI MPYA

  Saturday, December 09, 2023

  NI SIMBA QUEENS NA JKT QUEENS FAINALI NGAO YA WANAWAKE


  TIMU za JKT Queens na Simba Queens zitakutana katika Fainali ya Ngao ya Jamii kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kuzitoa Fountain Gate Princess na Yanga Princess leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mabingwa wa Ligi Kuu na Afrika Mashariki na Katí, JKT Queens wameichapa Fountain Gate Princess mabao 5-0, wakati Simba Queens wameitoaYanga Princess kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI SIMBA QUEENS NA JKT QUEENS FAINALI NGAO YA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top