• HABARI MPYA

    Friday, April 25, 2025
    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM jioni ya leo Uwanja wa Gomba...
    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    TIMU ya Zimamoto imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastao Union ya Tanga jioni ya ...
    Thursday, April 24, 2025
    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya JKU imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo ...
    Wednesday, April 23, 2025
    SERIKALI YAGHARAMIA USAFIRI NA MALAZI SIMBA SC MARUDIANO NA STELLENBOSCH

    SERIKALI YAGHARAMIA USAFIRI NA MALAZI SIMBA SC MARUDIANO NA STELLENBOSCH

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Dk. Samia Samia Suluhu Hasan imegharamia usafiri na malazi kwa klabu ya Afri...
    Tuesday, April 22, 2025
    SIMBA SC KUONDOKA NA WACHEZAJI 23 KESHO KUIFUATA STELLENBOSCH

    SIMBA SC KUONDOKA NA WACHEZAJI 23 KESHO KUIFUATA STELLENBOSCH

    KIKOSI cha Simba SC cha wachezaji 23 kinatarajiwa kuondoka kesho asubuhi kwenda Jijini Durban, Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudian...
    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    MICHUANO maalum ya kuazimisha sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania tukufu Aprili 26, mwaka 1964 sasa itafanyika Uw...
    Sunday, April 20, 2025
    RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI WAIPONGEZA SIMBA KUWACHAPA WASAUZI

    RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI WAIPONGEZA SIMBA KUWACHAPA WASAUZI

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Simba SC kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afr...
    NAMUNGO FC YAICHAPA MASHUJAA 2-1 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA MASHUJAA 2-1 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa, ...
    SIMBA SC YAICHAPA STELLENBOSCH 1-0 ZANZIBAR BAO LA AHOUA

    SIMBA SC YAICHAPA STELLENBOSCH 1-0 ZANZIBAR BAO LA AHOUA

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza was Nusu Fainali ya Kombe ...
    Saturday, April 19, 2025
    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    TIMU ya Azam FC imetoka nyuma na kushinda mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu ...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...
    Friday, April 18, 2025
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya le...
    Wednesday, April 16, 2025
    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga watamenyana na wenyeji, KVZ katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano Aprili 25 kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa New ...
    VODACOM YAZINDUA ‘TWENDE BUTIAMA 2025’, LENGO KUBORESHA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

    VODACOM YAZINDUA ‘TWENDE BUTIAMA 2025’, LENGO KUBORESHA ELIMU, AFYA NA MAZINGIRA

    KWA miaka ishirini na tano, Vodacom Tanzania PLC imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuchochea maendeleo endelevu katika jamii. Msafara wa T...
    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watasafiri hadi Tanga kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya...
    Monday, April 14, 2025
    JKT TANZANIA YAITANGULIA YANGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    JKT TANZANIA YAITANGULIA YANGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRD...
    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Singida Black Stars imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki...
    SIMBA SC NA STELLENBOSCH KUPIGWA UWANJA WA AMAAN JUMAPILI

    SIMBA SC NA STELLENBOSCH KUPIGWA UWANJA WA AMAAN JUMAPILI

    MCHEZO wa kwanza wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Stellenbosch ya Afrika Kusini utapigwa Uwanja wa N...
    TANZANIA YAPANGWA KUNDI A NA MISRI, ZAMBIA NA AFRIKA KUSINI AFCON U20

    TANZANIA YAPANGWA KUNDI A NA MISRI, ZAMBIA NA AFRIKA KUSINI AFCON U20

    TANZANIA imepangwa Kundi A katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka (AFCON U20) zinazotarajiwa kufanyi...
    Sunday, April 13, 2025
    SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB, YAICHAPA MBEYA CITY 3-1

    SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB, YAICHAPA MBEYA CITY 3-1

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baa...
    NAHODHA WA NIGERIA ILIYOTWAA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 1980 AFARIKI DUNIA

    NAHODHA WA NIGERIA ILIYOTWAA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA 1980 AFARIKI DUNIA

    NAHODHA na Kocha wa zamani wa timu ya ya Nigeria, Christian Chukwuemeka Chukwu amefariki dunia jana (Aprili 12, 2025) akiwa ana umri wa miak...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top