• HABARI MPYA

  Sunday, March 31, 2024
  Saturday, March 30, 2024
  YANGA YAAMBULIA SULUHU KWA MAMELODI SUNDOWNS DAR

  YANGA YAAMBULIA SULUHU KWA MAMELODI SUNDOWNS DAR

  WENYEJI, Yanga SC wametoa sare ya bila kufungana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Ma...
  CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA BURNLEY PUNGUFU STAMFORD BRIDGE

  CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA BURNLEY PUNGUFU STAMFORD BRIDGE

  WENYEJI, Chelsea FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Burnley FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bri...
  Friday, March 29, 2024
  SIMBA CHALI KWA MKAPA, WAPIGWA 1-0 NA AHLY KINDA WA MIAKA 22

  SIMBA CHALI KWA MKAPA, WAPIGWA 1-0 NA AHLY KINDA WA MIAKA 22

  MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabing...
   DIARRA, AZIZ KI, AUCHO NA PACOME WAMEFANYA MAZOEZI LEO JIONI KIGAMBONI

  DIARRA, AZIZ KI, AUCHO NA PACOME WAMEFANYA MAZOEZI LEO JIONI KIGAMBONI

  KIPA Mmali, Djigui Diarra na viungo, Mburkinabe Stephane Aziz Ki, Mganda Khalid Aucho na Muivory Coast Peadoh Pacome Zouazoua wote wamefanya...
  YANGA KUIVAA MAMELODI BILA DIARRA, YAO, AUCHO WALA PACOME

  YANGA KUIVAA MAMELODI BILA DIARRA, YAO, AUCHO WALA PACOME

  KOCHA Muargentina wa Yanga SC, Miguel Ángel Gamondi amethibitisha katika mchezo wa kesho dhidi ya Mamelodi Sundowns atawakosa nyota wake wan...
  MSIBA SIMBA SC, SHABIKI AFARIKI AJALINI AKIJA KUSHUHUDIA MECHI NA AHLY

  MSIBA SIMBA SC, SHABIKI AFARIKI AJALINI AKIJA KUSHUHUDIA MECHI NA AHLY

  KLABU ya Simba imepata msiba baada ya shabiki wake mmoja kufariki ajalini akiwa safarini na wenzake kuja Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa ...
  MAMELODI SUNDOWNS WAWASILI DAR KUIKABILI YANGA SC KESHO

  MAMELODI SUNDOWNS WAWASILI DAR KUIKABILI YANGA SC KESHO

  KIKOSI cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya M...
  Thursday, March 28, 2024
  MWAMBA HUYU HAPA! AUCHO TAYARI KWA SHUGHULI NA MAMELODI JUMAMOSI

  MWAMBA HUYU HAPA! AUCHO TAYARI KWA SHUGHULI NA MAMELODI JUMAMOSI

  KIUNGO Mganda wa Yanga, Khalid Aucho leo amefanya mazoezi kikamilifu kuelekea mchezo wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dh...
  BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO

  BENCHIKA: TUNA KAZI NGUMU MBELE YA AHLY KESHO

  KOCHA Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchika amesema wana kazi ngumu kesho mbele ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Robo ...
  Wednesday, March 27, 2024
  AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA

  AL AHLY TAYARI WAPO DAR KUIKABILI SIMBA IJUMAA

    KIKOSI cha Al Ahly ya Misri kimewasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ...
  Tuesday, March 26, 2024
  SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA

  SIMBA SC YAREJEA DAR TAYARI KUMVUA TAJI AHLY IJUMAA

  KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Jijini Dar es Salaam kutoka visiwani Zanzíbar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza ...
  Monday, March 25, 2024
  BEKI WA ZAMANI SIMBA NA YANGA, RAMAZANI WASSO AFARIKI DUNIA

  BEKI WA ZAMANI SIMBA NA YANGA, RAMAZANI WASSO AFARIKI DUNIA

  BEKI wa zamani wa Kimataifa wa Burundi, Ramazani Wasso amefariki dunia leo kwa Bujumbura nchini Burundi baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa ...
  YANGA NA MAMELODI SUNDOWNS MACHI 30 NI ‘MUDA DAY’ MTAMBO WA MABAO JANGWANI

  YANGA NA MAMELODI SUNDOWNS MACHI 30 NI ‘MUDA DAY’ MTAMBO WA MABAO JANGWANI

  KLABU ya Yanga imeamua mchezo wake wa kwanza wa Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns Machi 30 Uwanja wa Benjam...
  SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA

  SIMBA SC YATOZWA FAINI KWA VITENDO VYA USHIRIKINA

  KLABU ya Simba SC imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la mashabiki wake kuingia uwanjani na kwenda golini kuchimba kutoa vitu, ambayo i...
  NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA

  NYONI NA ULIMWENGU WAFUTIWA KADI NYEKUNDU YA KIRUMBA

  BEKI wa Namungo FC, Erasto Edward Nyoni na mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Emmanuel Ulimwengu wamefutiwa kadi nyekundu waliyoo...
  Sunday, March 24, 2024
  MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO MECHI ZA SIMBA NA YANGA

  MSEMAJI WA SERIKALI MATINYI AFAFANUA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO MECHI ZA SIMBA NA YANGA

  MKURUGENZI wa Idara ya Habari, MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, San...
  Saturday, March 23, 2024
  MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8

  MENEJA AIELEZA MAHAKAMA MWANAMUZIKI LAMECK DITTO AMEKOSESHWA SH. BILIONI 1.8

  Lameck Ditto (mwenye kofia) akijadiliana jambo na wakili wake, Elizabeth John na meneja wake Rodney Rugambo (mwenye fulana nyeupe) nje ya co...
  Friday, March 22, 2024
  KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA KUZING’OA AHLY NA MAMELODI AFRIKA

  KARIA AKABIDHIWA JEZI ZA SIMBA NA YANGA KAMPENI YA KUZING’OA AHLY NA MAMELODI AFRIKA

  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia leo amekabidhiwa jezi za Simba na Yanga kuelekea mechi za kwanza za Robó Fainali ...
  Thursday, March 21, 2024
  KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 MACHI 29 DAR

  KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AL AHLY NI SH 5,000 MACHI 29 DAR

  Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza na Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es Salaam. KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwan...
  MASHABIKI KUINGIA BURE UWANJANI YANGA NA MAMELODI MACHI 30

  MASHABIKI KUINGIA BURE UWANJANI YANGA NA MAMELODI MACHI 30

  Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe akizungumza na Waandishi wa Habari   leo Jijini Dar es Salaam . KLABU ya Yanga imesema hakutakuwa na kiing...
  Wednesday, March 20, 2024
  BETPAWA YATOA MABILIONI YA FEDHA KUDHAMINI TIMU ZA TAIFA ZA KIKAPU UGANDA

  BETPAWA YATOA MABILIONI YA FEDHA KUDHAMINI TIMU ZA TAIFA ZA KIKAPU UGANDA

  Maafisa wa kamati ya timu za Taifa wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Uganda (FUBA), watendaji wa betPawa na wawakilishi wa timu mbili za kita...
  SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI YA AHLY NA MAMELODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

  SERIKALI YASISITIZA UZALENDO SIMBA NA YANGA DHIDI YA AHLY NA MAMELODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaomba Watanzania  waziunge mkono Simba na Yanga kwenye michezo ya Robo Fainali...
  CHANGALAWE NAYE ATINGA NUSU FAINALI NDONDI ALL AFRICAN GAMES

  CHANGALAWE NAYE ATINGA NUSU FAINALI NDONDI ALL AFRICAN GAMES

  BONDIA wa Tanzania, Yussuf Changalawe amefanikiwa kutinga Nusu Fainali katika Mchezo ya Afrika (All African Game) inayoendelea nchini Ghana ...
  Tuesday, March 19, 2024
  YANGA YAANZA KUJIFUA KIGAMBONI KUIKUSANYIA NGUVU MAMELODI

  YANGA YAANZA KUJIFUA KIGAMBONI KUIKUSANYIA NGUVU MAMELODI

  KIKOSI cha Yanga SC leo kimeingia kambini, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na michezo miwili ya nyumbani na ugenini Robó...
  SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL AHLY

  SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZÍBAR KUJIANDAA NA AL AHLY

  KLABU ya Simba leo imeingia kambini visiwani Zanzíbar kujiandaa na mechi mbili za nyumbani na ugenini Robó Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika d...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top