• HABARI MPYA

  Thursday, February 29, 2024
  PRISONS YAKWEA TANO BORA LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TABORA UNITED 2-1

  PRISONS YAKWEA TANO BORA LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TABORA UNITED 2-1

  TIMU ya Tanzania Prisons jana iliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa So...
  IHEFU SC YABANWA NYUMBANI, YATOA SARE NA MSHUJAA 1-1

  IHEFU SC YABANWA NYUMBANI, YATOA SARE NA MSHUJAA 1-1

  WENYEJI, Ihefu SC jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja LITI m...
  Wednesday, February 28, 2024
  SIMBA SC YAIFUMUA TRA 6-0 AZAM FEDERATION CUP

  SIMBA SC YAIFUMUA TRA 6-0 AZAM FEDERATION CUP

  TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (A...
  KIPRE JUNIOR AIBEBESHA AZAM FC POINTI TATU MUHIMU

  KIPRE JUNIOR AIBEBESHA AZAM FC POINTI TATU MUHIMU

  BAO pekee la winga Muivory Coast, Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon dakika ya 53 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain ...
  GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU

  GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU

  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa sekondari...
  Tuesday, February 27, 2024
  MTIBWA SUGAR MAMBO MAGUMU, YABANWA MANUNGU

  MTIBWA SUGAR MAMBO MAGUMU, YABANWA MANUNGU

  WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manun...
  JKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, 0-0 MBWENI

  JKT TANZANIA NA KMC HAKUNA MBABE, 0-0 MBWENI

  WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jene...
  Sunday, February 25, 2024
  KAGERA SUGAR YAICHAPA IHEFU SC 2-1 KAITABA

  KAGERA SUGAR YAICHAPA IHEFU SC 2-1 KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mji...
  AZAM FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA PRISONS MBEYA

  AZAM FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA PRISONS MBEYA

  WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa S...
  TABORA UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 NA FOUNTAIN GATE

  TABORA UNITED YAAMBULIA SARE 1-1 NA FOUNTAIN GATE

  WENYEJI, Tabora United wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
  Saturday, February 24, 2024
  FODEN AING’ARISHA MAN CITY YAICHAPA BOURNEMOUTH 1-0 VITALITY

  FODEN AING’ARISHA MAN CITY YAICHAPA BOURNEMOUTH 1-0 VITALITY

  BAO pekee la kiungo Muingereza, Philip Walter Foden dakika ya 24 limeipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth ka...
  KMC YATOA SARE 2-2 NA NAMUNGO FC CHAMAZI

  KMC YATOA SARE 2-2 NA NAMUNGO FC CHAMAZI

  TIMU za KMC na Namungo FC zimegawana pointi baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uw...
  COASTAL UNION YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MKWAKWANI

  COASTAL UNION YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 MKWAKWANI

  BAO pekee la Charles Semfuko dakika ya 12 limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzan...
  YANGA YAWATANDIKA WAARABU 4-0 KAMA WAMESIMAMA MKAPA

  YANGA YAWATANDIKA WAARABU 4-0 KAMA WAMESIMAMA MKAPA

  WENYEJI, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika usiku...
  SIMBA SC NA ASEC ZATOSHANA MBAVU ABIDJAN

  SIMBA SC NA ASEC ZATOSHANA MBAVU ABIDJAN

  TIMU ya Simba SC imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, ASEC Mimosas usiku wa Ijumaa katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mbingwa Afrika Uwanja w...
  Friday, February 23, 2024
  TWIGA STARS YALAMBEA 3-0 NA BANYANA BANYANA CHAMAZI

  TWIGA STARS YALAMBEA 3-0 NA BANYANA BANYANA CHAMAZI

  TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imechapwa mabao 3-9 na Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Tatu kufuzu Olimpi...
  Thursday, February 22, 2024
  AZAM FC YAWATANDIKA GREEN WARRIORS 5-0 ASFC CHAMAZI

  AZAM FC YAWATANDIKA GREEN WARRIORS 5-0 ASFC CHAMAZI

  TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASF...
  LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LUTON 4-1 ANFIELD

  LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LUTON 4-1 ANFIELD

  TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kushinda 4-1 dhidi ya Luton Town katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield Jijini Liver...
  MTIBWA SUGAR NA NAMUNGO ZASONGA MBELE AZAM FEDERATION CUP

  MTIBWA SUGAR NA NAMUNGO ZASONGA MBELE AZAM FEDERATION CUP

  TIMU za Namungo FC na Mtibwa Sugar zimefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Spo...
  Wednesday, February 21, 2024
  KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  TIMU ya Kagera Sugar jana ilifanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federatio...
  Tuesday, February 20, 2024
  GUEDE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA POLISI 5-0

  GUEDE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA POLISI 5-0

  MABINGWA watetezi, Yanga wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federati...
  TIMU ZA LIGI KUU ZAZICHUJA ZA CHAMPIONSHIP KWENYE ASFC

  TIMU ZA LIGI KUU ZAZICHUJA ZA CHAMPIONSHIP KWENYE ASFC

  TIMU za Coastal Union, Singida Fountain Gate na Dodoma Jiji zimelinda hadhi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuzitoa timu za NBC Ch...
  Monday, February 19, 2024
  BENCHIKA ATEUA 22 KUIFUATA ASEC KWA MECHI YA IJUMAA

  BENCHIKA ATEUA 22 KUIFUATA ASEC KWA MECHI YA IJUMAA

  KOCHA Mualgeria, Abdelhak Benchika ameteua wachezaji 22 kwa safari ya Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mbingwa Afrika dhid...
  AZAM FC YAAMBULIA SARE KWA TABORA UNITED, 0-0 MWINYI

  AZAM FC YAAMBULIA SARE KWA TABORA UNITED, 0-0 MWINYI

  TIMU ya Azam FC imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali Hassan ...
  IHEFU YAWAKANDA GEITA GOLD 2-1 PALE PALE NYANKUMBU

  IHEFU YAWAKANDA GEITA GOLD 2-1 PALE PALE NYANKUMBU

  TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
  WASHINDI WA MTOKO WA KIBINGWA 56 KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO

  WASHINDI WA MTOKO WA KIBINGWA 56 KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO

  KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa " kwa Msimu wa 7...
  Sunday, February 18, 2024
  JKT TANZANIA YAAMBULIA POINTI MOJA KWA NAMUNGO MBWENI

  JKT TANZANIA YAAMBULIA POINTI MOJA KWA NAMUNGO MBWENI

  TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja Jenera...
  Saturday, February 17, 2024
  SAKA APIGA MBILI ARSENAL YATANDIKA VIBONDE BURNLEY 5-0

  SAKA APIGA MBILI ARSENAL YATANDIKA VIBONDE BURNLEY 5-0

  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Turf Moor mjin...
  LIVERPOOL YAICHAPA BRENTFORD 4-1 NA KUJITANUA KILELENI

  LIVERPOOL YAICHAPA BRENTFORD 4-1 NA KUJITANUA KILELENI

  TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji, Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Gtech Comm...
  MUDATHIR APIGA MBILI YANGA YAICHAPA KMC 3-0 MORO

  MUDATHIR APIGA MBILI YANGA YAICHAPA KMC 3-0 MORO

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamh...
  Friday, February 16, 2024
  AZAM FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 CHAMAZI

  AZAM FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 CHAMAZI

  WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Com...
  KAGERA SUGAR YABANWA, SARE 1-1 NA MASHUJAA KAITABA

  KAGERA SUGAR YABANWA, SARE 1-1 NA MASHUJAA KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa K...
  ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI

  ASEC WAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA NA MTIBWA MORO JUMAPILI

  MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Mtibwa Sugar na Simba SC uliopangwa kufanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili ume...
  AJIBU AFUNGA BAO PEKEE COASTAL YAILAZA DODOMA 1-0 MKWAKWANI

  AJIBU AFUNGA BAO PEKEE COASTAL YAILAZA DODOMA 1-0 MKWAKWANI

  BAO pekee la Ibrahim Ajibu kwa penalti dakika ya pili tu jana liliipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ...
  Thursday, February 15, 2024
  CHAMA KATIKA UBORA WAKE, SIMBA YAICHAPA JKT 1-0 MBWENI

  CHAMA KATIKA UBORA WAKE, SIMBA YAICHAPA JKT 1-0 MBWENI

  BAO pekee la kiungo Mzambia, Clatous Chotta Chama dakika ya 33 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania jioni ya leo U...
  TANZANIA PRISONS YAITANDIKA SINGIDA FOUNTAIN GATE 3-1 SOKOINE

  TANZANIA PRISONS YAITANDIKA SINGIDA FOUNTAIN GATE 3-1 SOKOINE

  WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara le...
  MAKOCHA WA SIMBA SC WAFUNGIWA NA FAINI JUU KWA FUJO DHIDI YA AZAM

  MAKOCHA WA SIMBA SC WAFUNGIWA NA FAINI JUU KWA FUJO DHIDI YA AZAM

  KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kufanya vurugu kwenye mchezo dhidi ya Azam FC Februar...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top