• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2023

  KIPA MGHANA WA AZAM APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU


  KIPA Mghana wa Azam FC, Iddrisu Abdulai ameondoka nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi kuelekea Afrika Kusini, kwa ajili ya kufanyiwa matibabu ya bega lake la mkono wa kushoto katika Hospitali ya Vincent Pallotti, iliyopo jijini Cape Town.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIPA MGHANA WA AZAM APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top