HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI MUINGEREZA KOCHA MPYA THIKA UNITED Wednesday, December 31, 2014 Na Vincent Malouda, NAIROBI KOCHA Muingereza Tim Bryett ndiye mkufunzi mpya wa klabu ya ligi kuu ya taifa la Kenya, Thika United. Bryett ... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI
HABARI ZA NYUMBANI SC VILLA WAIKACHA YANGA SC KOMBE LA MAPINDUZI Wednesday, December 31, 2014 Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SC Villa ya Uganda imejitoa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi na Yanga SC wanajikuta katika kundi ‘n... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA CHELSEA KUMUUZA UJERUMANI HAZARD PAUNI MILIONI 6.3 Wednesday, December 31, 2014 KLABU ya Borrusia Monchengladbach imetoa ofa ya Pauni Milioni 6.3 kwa ajili ya kumnunua winga wa Chelsea, Thorgan Hazard. Kinda huyo wa ... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA NYUMBANI PLUIJM AMTABIRIA MEMA HAMISI KIIZA Wednesday, December 31, 2014 Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza juzi alitua nchini kumalizana jumla na uongozi wa timu hiyo na ... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA WENGER ANAKABILIWA NA TATIZO LA WASHAMBULIAJI KUELEKEA MECHI NA SOUTHAMPTON KESHO Wednesday, December 31, 2014 KOCHA Arsene Wenger anakabiliwa na tatizo la washambuliaji kuelekea mechi dhidi ya Southampton kesho, kufuatia Danny Welbeck kupata maujib... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA ULAYA EL SHAARAWYB APIGA MBILI MILAN IKIIFUMUA 4-2 REAL MADRID DUBAI Wednesday, December 31, 2014 TIMU ya Real Madrid imefungwa mabao 4-2 na AC Milan katika mchezo wa kirafiki Dubai uliochezwa katika mapumziko ya majira ya baridi. Jer... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA NYUMBANI KOCHA MPYA SIMBA ASEMA; “YANGA WAPO KWENYE KIGANJA CHA MKONO WANGU” Wednesday, December 31, 2014 Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSERBIA Goran Kopunovic amesema kwamba anawajua sana Yanga SC na hakuja Simba SC kutalii, bali amekuja kuf... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
NDONDI CHEKA KUZIPIGA NA KING CLASS MAWE FEBRUARI 28 MANZESE Wednesday, December 31, 2014 Mabondia Cossmas Cheka (kushoto) na Ibrahim Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa ... Wednesday, December 31, 2014 NDONDI
HABARI ZA NYUMBANI KOCHA MPYA SIMBA SIMBA SC AWASILI DAR Wednesday, December 31, 2014 Kocha mpya wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akizungumza na Waandishi wa Habari Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam (JNIA... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA TORRES AANZA KAZI ATLETICO MADRID, KUIVAA REAL JANUARI 7 KOMBE LA MFALME Wednesday, December 31, 2014 MSHAMBULIAJI Fernando Torres jana amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza tangu arejee Atletico Madrid. Mpachika mabao huyo amnaye nyota yak... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA ULAYA
HABARI PICHA MAMBO YA MBEYA CITY NA RB BATTERY KIULAYA ULAYA Wednesday, December 31, 2014 Mtoto wa Mkurugenzi wa kampuni ya Bin Slum Tyres Limited, Nassor Bin Slum aitwaye Abdulwahab akifurahia na sweta na kofia ya timu ya Mbey... Wednesday, December 31, 2014 HABARI PICHA
HABARI ZA AFRIKA DROGBA ATEMWA KIKOSI CHA IVORY COAST MATAIFA YA AFRIKA Wednesday, December 31, 2014 Na Mwandishi Wetu, ABIDJAN KOCHA wa Ivory Coast, Herve Renard ametaja kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 kitakachosafiri kwenda kw... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA AFRIKA
HABARI ZA AFRIKA CAMEROON YAZIBA KIRAKA KIKOSI CHA AFCON Wednesday, December 31, 2014 BEKI Aurelien Chedjou (pichani kushoto) ameitwa kwenye kikosi cha Cameroon jana baada ya kutoitwa kwa miezi sita ili akazibe pengo la... Wednesday, December 31, 2014 HABARI ZA AFRIKA
BIN ZUBEIRY MAKALA VIONGOZI SIMBA SC SASA WAJITATHMINI NA WAO WENYEWE Wednesday, December 31, 2014 KATIKA kipindi cha nusu mwaka tangu uongozi wa Simba SC kuwa madarakani chini ya Rais, Evans Elieza Aveva kocha wa tatu anatarajiwa kuanza ... Wednesday, December 31, 2014 BIN ZUBEIRY MAKALA
HABARI ZA AFRIKA NYOTA AJAX ATEMWA BAFANA KIKOSI CHA AFCON Tuesday, December 30, 2014 Na Mwandishi Wetu, JOHANNESBURG NYOTA wa Ajax Amsterdam, Thulani Serero ameachwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wa Bafana Bafan... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA AFRIKA
HABARI ZA AFRIKA KOCHA GUINEA AMBEBA MTUKUTU CONSTANT KIKOSI CHA AFCON Tuesday, December 30, 2014 Na Mwandishi Wetu, GUINEA KOCHA wa Guinea, Michel Dussuyer amemchukua Kevin Constant katika kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 kwa a... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA AFRIKA
HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI TEARGAS’ AREJEA GOR MAHIA; SABA WATEMWA Tuesday, December 30, 2014 Na Vincent Malouda, NAIROBI ALIYEKUWA kiungo wa Gor Mahia Victor Ali Hassan Abondo maarufu kama ‘Teargas’ (pichani kushoto) miongoni mwa... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI
HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KUFUNGUA DIMBA KOMBE LA MAPINDZI ALHAMISI, AZAM NA KCC, YANGA NA SC VILLA Tuesday, December 30, 2014 Na Salum Vuai, ZANZIBAR SIMBA SC na Mtibwa Sugar, keshokutwa wanatarajiwa kukata utepe wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2015 uwanja wa ... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI MAREFA 18 WAPATA BEJI ZA FIFA Tuesday, December 30, 2014 Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM WAAMUZI 18 wa Tanzania wamepata beji za uamuzi za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa ... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI AL AHLY WAALIKWA KOMBE LA MAPINDUZI, KCCA NA ULINZI YA KENYA NAZO ZAJA Tuesday, December 30, 2014 Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR MABINGWA wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwaka 2014/2015 Al Ahly ya Misri, ni miongoni mwa timu mashuhur... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI NTAGWABILA: NIKO TAYARI KUFANYA KAZI NA GORAN SIMBA SC Tuesday, December 30, 2014 Na Mwandishi Wetu, KIGALI KOCHA Jean Marie Ntagwabila amesema kwamba yuko tayari kuwa Msaidizi wa Mserbia, Goran Kopunovic katika klabu ya... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI BRANDTS ALIYEFUKUZWA YANGA SC SASA ANAFUNDISHA KLABU YA LIGI KUU UHOLANZI Tuesday, December 30, 2014 Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernstus ‘Ernie’ Wilhelmus Johannes Brandts sasa anafundisha FC D... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI PSPF KUWAKUTANISHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA SIMBA Tuesday, December 30, 2014 Na Abdul Njaidi, DAR ES SALAAM MFUKO wa Pensheni wa PSPF umedhamini mchezo wa kirafki utakaowakutanisha wachezaji waliowahi kuwika katika ... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI MAPINDUZI ‘YAISULUBU’ LIGI KUU BARA, MECHI ZA SIMBA, YANGA, AZAM ZAPIGWA ‘STOP’ VIKOSI VIENDE ZANZIBAR Tuesday, December 30, 2014 Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mechi mbili za kila timu Azam FC, Mtibwa Sugar, Simba na Yan... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA LIVERPOOL YAICHAPA SWANSEA 4-1 ENGLAND Tuesday, December 30, 2014 TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Swansea usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Ku... Tuesday, December 30, 2014 HABARI ZA ULAYA