// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 08, 2024
    MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU OKTOBA

    MAROUF TCHAKEI MCHEZAJI BORA, TOUSSI KOCHA BORA LİGİ KUU OKTOBA

    KIUNGO Mtogo wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mmoroc...
    Thursday, November 07, 2024
    CAF YAONGEZA ZAWADI LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE

    CAF YAONGEZA ZAWADI LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeongeza zawadi za ushiriki wa michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake barani kwa asilimia 52 na sasa li...
    AZİZ Kİ AKOSA PENALTI YANGA YAPIGWA 3-1 CHAMAZI

    AZİZ Kİ AKOSA PENALTI YANGA YAPIGWA 3-1 CHAMAZI

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamekutana na kipigo cha pili mfululizo baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu y...
    Wednesday, November 06, 2024
    JEAN CHARLES AHUA APIGA MBILI SIMBA YAITANDIKA KMC 4-0 MWENGE

    JEAN CHARLES AHUA APIGA MBILI SIMBA YAITANDIKA KMC 4-0 MWENGE

    TIMU ya Simba Sports Club imefanikiwa kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya KMC Uwanja w...
    MSUVA AREJESHWA TAIFA STARS KWA AJILI YA ETHIOPOA NA GUINEA KUFUZU AFCON

    MSUVA AREJESHWA TAIFA STARS KWA AJILI YA ETHIOPOA NA GUINEA KUFUZU AFCON

    KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ amemuita mshambuliaji Simon Msuva anayechezea klabu ya Al-Talaba yenye maskani yake Al-Rusafa, Baghdad nchini...
    Tuesday, November 05, 2024
    PAMBA YAZINDUKA NA KUICHAPA FOUNTAIN GATE PUNGUFU 3-1 BABATI

    PAMBA YAZINDUKA NA KUICHAPA FOUNTAIN GATE PUNGUFU 3-1 BABATI

    HATIMAYE Pamba Jiji imeshinda mechi ya kwanza tangu ipande Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu huu baada ya kuwachapa wenyeji, Fountain Gate...
    Monday, November 04, 2024
    KAGERA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 KAITABA

    TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa K...
    CHUKWU AFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAILAZA MASHUJAA 1-0 MWINYI

    CHUKWU AFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAILAZA MASHUJAA 1-0 MWINYI

    WENYEJI, Tabora United wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali Has...
    Sunday, November 03, 2024
    TANZANIA PRISONS YAWAKANDA KEN GOLD 1-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAWAKANDA KEN GOLD 1-0 SOKOINE

    TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya ndugu zao, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwan...
    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL UNION

    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SULUHU KWA COASTAL UNION

    TIMU ya Singida Black Stars jana ililazimishwa sare ya bila mabao na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa ...
    Friday, November 01, 2024
    MUKWALA AFUNGA DAKİKA YA MWISHO SIMBA YAICHAPA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    MUKWALA AFUNGA DAKİKA YA MWISHO SIMBA YAICHAPA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    SIMBA SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lake Ta...
    Thursday, October 31, 2024
    Wednesday, October 30, 2024
    YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR

    YANGA SC WAPANDA KILELENI LİGİ KUU BAADA YA KUICHAPA SINGIDA 1-0 ZANZIBAR

    MABINGWA watetezi, Yanga hatimaye wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars ...
    LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI KWA USAHIHI MATOKEO YA TRUMP DHIDI YA KAMALA

    LEONBET KUMWAGA FEDHA KWA WATAKAO BASHIRI KWA USAHIHI MATOKEO YA TRUMP DHIDI YA KAMALA

    Wagombea kiti cha Urais wa  Marekani, Kamala Harris (kushoto) na Donald Trump. NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM WAKATI joto la uchaguzi mkuu...
    Tuesday, October 29, 2024
    KEN GOLD YAAMBULIA SARE NA KWA DODOMA JIJI, 2-2 SOKOINE

    KEN GOLD YAAMBULIA SARE NA KWA DODOMA JIJI, 2-2 SOKOINE

    WENYEJI, Ken Gold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania jioni ya leo Uwanja wa...
    COASTAL UNION  YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SHEIKH AMRI ABEID

    COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SHEIKH AMRI ABEID

    BAO la dakika za lala salama za Abdallah Semfuko limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC...
    Monday, October 28, 2024
    NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO

    NAMUNGO FC YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 RUANGWA BAO LA MKOKO

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ma...
    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA, 2-2 BABATI

    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA, 2-2 BABATI

    TIMU za Fountain Gate na Mashujaa zimegawana pointi kwa sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA SUDAN MECHI YA KUFUZU CHAN MAURITANIA

    TIMU ya soka ya taifa ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars usiku wa jana imefungwa bao 1-0 na Sudan kwenye Uwanja wa Cheikha Ould Boïdiya Jijin...
    Sunday, October 27, 2024
    BOCCO, NDEMLA NA DILUNGA WAUMIA AJALI YA BASI LA JKT TANZANIA

    BOCCO, NDEMLA NA DILUNGA WAUMIA AJALI YA BASI LA JKT TANZANIA

    WACHEZAJI kadhaa wa JKT Tanzania wamerepotiwa kuumia katika ajali ya basi lao wakitokea Dodoma ambako jana walikuwa wana mchezo wa Ligi Kuu ...
    LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU

    LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU

    MKONGWE Robert Lewandowski usiku wa jana alifunga mabao mawili kuiwezesha Barcelona kushinda 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo...
    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 BAO LA PENALTI JAMHURI

    BAO pekee la beki Heritier Lulihoshi dakika ya 71 kwa penalti jana liliipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo...
    Saturday, October 26, 2024
    BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA

    BALEKE AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAILAZA COASTAL UNION 1-0 ARUSHA

    BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Jean Othos Baleke dakika ya 25 limeisaidia Yanga kushinda 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi...
    SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    SALIBOKO AWEKA MBILI KMC YAIBANJUA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    Friday, October 25, 2024
    AZAM FC YAUWASHA MOTO, YAITANDIKA KEN GOLD 4-1 CHAMAZI

    AZAM FC YAUWASHA MOTO, YAITANDIKA KEN GOLD 4-1 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chama...
    SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE

    SIMBA SC YAAMSHA HASIRA, YAITWANGA NAMUNGO 3-0 MWENGE

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja Halmashauri...
    SINGIDA BLACK STARS WAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS WAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0 LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain  Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwan...
    Thursday, October 24, 2024
    SIMBA NA YANGA ZAWANIA TUZO YA KLABU BORA AFRIKA

    SIMBA NA YANGA ZAWANIA TUZO YA KLABU BORA AFRIKA

    VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka Afrika baada ya kufika Robo Fa...
    Tuesday, October 22, 2024
    YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LİGİ KUU

    YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LİGİ KUU

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameendeleza rekodi ya ushindi wa mechi zote tangu kuanza kwa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya le...
    SIMBA SC YAZINDUKA, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    SIMBA SC YAZINDUKA, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    AISHI MANULA AREJESHWA TAIFA STARS KUWAKABILI SUDAN KUFUZU CHAN

    AISHI MANULA AREJESHWA TAIFA STARS KUWAKABILI SUDAN KUFUZU CHAN

    KİPA Aishi Salum Manula ndiye mkongwe pekee aliyeitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars cha wachezaji wanaocheza nyum...
    Monday, October 21, 2024
    MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA

    MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanga...
    FOUNTAIN GATE YAILAMBA KMC MABAO 3-1 TANZANITE KWARAA

    FOUNTAIN GATE YAILAMBA KMC MABAO 3-1 TANZANITE KWARAA

    WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Tanzanite Kwa...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top