• HABARI MPYA

  Wednesday, April 03, 2024

  BEKI CHIPUKIZI PASCAL MSINDO AJITIA PINGU AZAM FC HADI 2027


  BEKI wa kushoto, Pascal Gaudence Msindo (20) amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Azam FC hadi mwaka 2027 baada ya kupandishwa kikosi cha kwanza kutoka timu ya vijana Julai 1, 2022.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI CHIPUKIZI PASCAL MSINDO AJITIA PINGU AZAM FC HADI 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top