• HABARI MPYA

  Sunday, April 28, 2024

  MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO


  MASHABIKI wa Simba SC waliojitokeza kuwapokea wachezaji wao baada ya kurejea kutoka Zanzíbar ambako jana walitwaa Kombe la Muungano kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top