• HABARI MPYA

  Friday, April 26, 2024

  STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kufanya usajili wa mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa madai yake mshambuliaji Mrundi, Jean Didier Touya.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STRAIKA MRUNDI AIPONZA TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top