• HABARI MPYA

  Saturday, April 20, 2024

  YANGA WAKUTANA NA CSKA MOSCOW KWA LENGO LA USHIRIKIANO


  UONGOZI wa klabu ya Yanga SC umekutana na Uongozi wa CSKA Moscow ya Urusi kwa lengo la kutengeneza mahusiano ya kukuza vipaji kwa soka la vijana na kubadilishana taaluma mbalimbali za kimichezo na utawala. 
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAKUTANA NA CSKA MOSCOW KWA LENGO LA USHIRIKIANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top