• HABARI MPYA

  Sunday, April 07, 2024

  SIMBA NA YANGA NI JUMAMOSI, APRILI 20 ‘KWA MKAPA’


  MCHEZO wa marudiano wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga utachezwa Jumamosi ya Aprili 20 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Ikumbukwe mchezo wa mzunguko wa kwanza baina ya watani hao wa jadi Yanga iliitandika Simba SC mabao 5-1 Novemba 5, mwaka jana Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA NI JUMAMOSI, APRILI 20 ‘KWA MKAPA’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top