• HABARI MPYA

  Sunday, April 28, 2024

  RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA


  RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la Muungano Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya ushindi wa 1-0 jana dhidi ya Azam FC Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.


  RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Nahodha wa Simba SC Fedha Taslimu Sh. Milioni 50 kwa kutwaa Kombe la Muungano jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.


  RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya Kipa wa michuano ya Kombe la Muungano kipa wa Simba SC, Mmorocco Ayoub Lakred jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.

  RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya Mchezaji Bora wa michuano ya Kombe la Muungano kiung Mkongo wa Simba SC, Fabrice Luamba Ngoma jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzíbar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top