AZAM FC WAWASILI RUANGWA TAYARI KUIKABILI NAMUNGO FC KESHO
WACHEZAJI wa Azam FC baada ya kuwasili mjini Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Namungo FC kesho kuanzia Saa 2:00 usiku Uwanja wa Majaaliwa. GONGA KUTAZAMA VIDEO AZAM WALIVYOWASILI RUANGWA
0 comments:
Post a Comment