• HABARI MPYA

  Thursday, April 18, 2024

  NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA


  REFA Ahmed Arajiga kwa mara ya pili mfululizo amepewa dhamana ya kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara keshokutwa kuanzia Saa 11:00 jioni Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top