• HABARI MPYA

  Sunday, April 28, 2024

  RAIS WA YANGA HERSI AMKABIDHI JEZI WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST


  RAIS wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Klabu Afrika (ACA) Hersi Ally Said akimkabidhi jezi ya klabu hiyo Waziri wa Michezo wa Ivory Coast, Adjé Silas baada ya kukutana Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo juu ya masuala mbalimbali ya maendeleo. 
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA YANGA HERSI AMKABIDHI JEZI WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top