• HABARI MPYA

  Wednesday, April 17, 2024

  STEPHANE AZIZ KI NDIYE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI MACHI

  KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki amechaguliwa Mchezaji Bora wa Yanga kwa mwezi Machi.
  Ki amewapiku beki Ibrahim Hamad ‘Bacca’ na kiungo Mudathir Yahya Abbas alioingia nao Fainali – na kwa ushindi huo atapatiwa kitita en cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STEPHANE AZIZ KI NDIYE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI MACHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top