WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Kwa matokeo hayo, Tanzania Prisons inafikisha pointi 31, ingawa inabaki nafasi ya sita ikiizidi pointi mbili Kagera Sugar iliyopo nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 24.
0 comments:
Post a Comment