• HABARI MPYA

  Sunday, April 21, 2024

  SIMBA SC KUSHIRIKI KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR


  TIMU ya Simba SC itashiriki michuano ya Kombe la Muungano inayoandaliwa kwa pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Shirikisho la Soka Zanzíbar (ZFF) kuazimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzíbar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUSHIRIKI KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top