• HABARI MPYA

  Tuesday, April 23, 2024

  MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI


  MCHEZO wa l Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC na wenyeji, JKT Tanzania uliopangwa kufanyika jioni ya leo Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam umeahirishwa kwa sababu ya maji kujaa kwenye eneo la kuchezea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top