• HABARI MPYA

  Wednesday, April 24, 2024

  YANGA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA ATCL


  KLABU ya Yanga leo imeingia makubaliano ya ushirika na Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) ambapo utazinufaisha pande zote mbili.
  Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Yanga wataitangaza biashara ya ATCL na wao watapatiwa punguzo la bei kwenye safari zao mbalimbali ndani na nje ya nchi. 
  “Hatuwezi kuona huduma ya Air Tanzania inafanyika bila sisi kuitangaza. Kufanya hivyo ni kuunga mkono juhudi za Serikali yetu," amesema Rais wa Yanga SC, Hersi Said.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKA NA ATCL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top