• HABARI MPYA

  Sunday, April 21, 2024

  BERNARDO SILVA AIPELEKA MAN CITY FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND


  TIMU ya Manchester City imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea FC usiku wa jana Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Bao pekee la Mancester City jana lilifungwa na kiungo Mreno, Bernardo Silva dakika ya 84 na sasa watakutana na mshindi kati ya Coventry City na Manchester United zinazomenyana leo katika Nusu Fainali ya pili leo. Fainali itachezwa Mei 25 Uwanja wa Wembley.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BERNARDO SILVA AIPELEKA MAN CITY FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top