• HABARI MPYA

  Tuesday, April 16, 2024

  SIMBA SC SAFARINI ZANZÍBAR KUWEKA KAMBI WAIBOMOE YANGA J’MOSI


  NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ akiwa Bandari ya Azam Marine na wenzake kwa safari ya Zanzíbar kwenda kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC SAFARINI ZANZÍBAR KUWEKA KAMBI WAIBOMOE YANGA J’MOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top