• HABARI MPYA

  Sunday, April 21, 2024

  SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA


  WENYEJI, Singida Fountain Gate wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Kwa matokeo hayo, Singida Fountain Gate wanafikisha pointi 26 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Mashujaa wanafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya 13 baada ya wote kucheza mechi 24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top