// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
LIVERPOOL YAKALISHWA PALE PALE ANFIELD…YAPIGWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINELIVERPOOL YAKALISHWA PALE PALE ANFIELD…YAPIGWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
LIVERPOOL YAKALISHWA PALE PALE ANFIELD…YAPIGWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE
BAO pekee la kiungo Muingereza mwenye asili ya Nigeria, Eberechi Oluchi Eze dakika ya 14 limeipa Crystal Palace ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool. Kwa ushindi huo, Crystal Palace inafikisha pointi 33 na kusogea nafasi ya 14, wakati Liverpool inabaki na pointi zake 71 nafasi ya tatu baada ya wote kucheza mechi 32.
Djokovic wins first match with coach Murray in box
-
Novak Djokovic comes from a set down to win his opening-round Australian
Open match, his first victory with three-time Grand Slam champion Andy
Murray in h...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment