• HABARI MPYA

  Tuesday, April 30, 2024

  FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI HADI IMLIPE KAMBOLE


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Yanga kusajili mchezaji mpya hadi hapo itakapomlipa aliyekuwa mshambuliaji wake, Mzambia Lazarous Kambole msimu uliopita.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI HADI IMLIPE KAMBOLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top