• HABARI MPYA

  Tuesday, April 09, 2024

  LUSAJO MWAIKENDA AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2027


  BEKI  Lusajo Elukaga Mwaikenda ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea na kazi Azam FC ambao utamuweka viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2027.
  Mwaikenda (23) ni zao lingine la uwekezaji katika soka ya vijana Azam FC ambaye baada ya kufanya vizuri Azam Academy alipelekwa KMC kwa mkopo Agosti 2020 kupata uzoefu kabla ya kurejea Juni mwaka Juni 2021 na moja kwa moja kuingia kikosi cha kwanza na kuaminiwa kiasi cha kuteuliwa Nahodha Msaidizi.
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUSAJO MWAIKENDA AJITIA KITANZI AZAM FC HADI 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top