• HABARI MPYA

  Sunday, April 14, 2024

  SIMBA SC WAREJEA DAR MOJA KWA MOJA KAMBINI


  KIKOSI ch Simba SC kimewasili salama Jijini Dar es Salaam kikitokea Singida ambako jana kilitoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa LITI mjini humo.
  Simba moja kwa moja inakwenda kambini kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC Jumamosi ijayo Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  GONGA KUTAZAMA VÍDEO AHMED ALLY AKIZUNGUMZA BAADA YA MECHI YA JANA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAREJEA DAR MOJA KWA MOJA KAMBINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top