• HABARI MPYA

  Sunday, April 21, 2024

  SIMBA SC KUFUNGUA DIMBA NA KVZ KOMBE LA MUUNGANO


  KLABU ya Simba itamenyana na wenyeji, KVZ katika Nusu Fainali ya Kombe la Muungano Jumatano ya Aprili 24 Uwanja wa New Amaan Complex visiwani, Zanzíbar wakati Azam FC itaanza na KMKM Alhamisi.
  Washindi wa mechi za Nusu Fainali watakutana katika Fainali Aprili 27 hapo hapo Amaan Complex.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUFUNGUA DIMBA NA KVZ KOMBE LA MUUNGANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top