• HABARI MPYA

  Friday, April 26, 2024

  DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI


  BAO pekee la mshambuliaji Paul Peter Kasunda dakika ya tisa limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inafikisha pointi 28 katika mchezo wa 23 na kupanda kwa nafasi mbili hadi ya nane, wakati KMC inabaki na pointi zake 32 za mechi 23 nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top