• HABARI MPYA

  Monday, April 15, 2024

  YANGA WALIVYOREJEA LEO DAR BAADA YA USHINDI WA 3-0 JANA KIRUMBA


  KIKOSI cha Yanga SC kimerejea leo Dar es Salaam kutoka Mwanza ambako jana kilipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba.
  Yanga imeingia moja kwa moja kambini, Avic Town, Kigamboni nje ya Jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya watani, Simba Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  GONGA KUTAZAMA VÍDEO YANGA WALIVYOWASILI LEO DAR
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOREJEA LEO DAR BAADA YA USHINDI WA 3-0 JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top