• HABARI MPYA

  Wednesday, April 17, 2024

  KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0


  BAO pekee la kiungo Hassan Salum Kabunda dakika ya nane limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 26 katika mchezo wa 23 na kusogea nafasi ya nane, wakati Coastal Union inabaki na pointi zake 33 za mechi 23 nafasi ya nne.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top