• HABARI MPYA

  Sunday, April 14, 2024

  KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI SINGIDA FOUNTAIN GATE KABLA YA KUIVAA YANGA


  KIPA Beno Kakolanya anadaiwa kutoroka kambini katika klabu yake, Singida Fountain Gate muda mfupi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Yanga.
  Singida Fountain Gate watamenyana na mabingwa watetezi, Yanga SC kuanzia Saa 10:00 jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na uongozi umesema unafuatilia mienendo ya wachezaji wengine ili kujua kama wamehujumu timu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI SINGIDA FOUNTAIN GATE KABLA YA KUIVAA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top