• HABARI MPYA

    Tuesday, June 17, 2014

    MWANAMKE AJIACHIA 'UCHI WA MNYAMA' HOTELI YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA BRAZIL

    HUKU England ikihitaji ushindi katika mechi dhidi ya Uruguay Alhamisi kufufua matumaini ya kusonga mbele Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia, vishawishi vimeanza kuivamia kambi yao.
    Mwanamke mmoja alinaswa akiwa 'uchi wa mnyama' nje ya chumba kwenye hoteli ya Royal Tulip, ambayo England wameweka kambi.  Lakini hilo lilitokea wakati wachezaji wa England wamekwenda mazoezini milim a ya Sugarloaf mjini Rio de Janeiro.
    Balaa gain hili: Mwanamke akiwa uchi kwenye hotel ambayo England wameweka kambi mjini Rio
    Look out: The woman admires the view from the balcony at the Royal Tulip hotel
    Mitego: Mwanamke akiangalia nje chini kutoka ghorofani katika hotel ya Royal Tulip
    Cover up: Maybe next time she should get dressed inside
    Sasa ndiyo anavaa akiwa nje
    Team talk: England's Raheem Sterling and Wayne Rooney at the team hotel on Monday
    Wachezaji wa England, Raheem Sterling na Wayne Rooney wakiwa kwenye hotel yao Jumatatu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWANAMKE AJIACHIA 'UCHI WA MNYAMA' HOTELI YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top