• HABARI MPYA

  Saturday, June 05, 2021

  MPIANA MONZINZI NA OBREY CHIRWA WAFUNGA AZAM FC WAITANDIKA COASTAL UNION 3-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO CHAMAZI

  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na washambuliaji, Mkongo Mpiana Monzinzi dakika ya 23, Mzambia Obrey Chirwa dakika ya 85 na kiungo Ismail Aziz dakika ya 90 na ushei.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MPIANA MONZINZI NA OBREY CHIRWA WAFUNGA AZAM FC WAITANDIKA COASTAL UNION 3-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top