• HABARI MPYA

  Thursday, June 03, 2021

  BUKAYO SAKA APIGA BAO PEKEE ENGLAND YAICHAPA 1-0 AUSTRIA

  BAO pekee la Bukayo Saka dakika ya 56 jana liliipa England ushindi wa 1-0 dhidi ya Austria katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Riverside Jijini Middlesbrough kujiandaa Fainali za Euro 2021


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BUKAYO SAKA APIGA BAO PEKEE ENGLAND YAICHAPA 1-0 AUSTRIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top