• HABARI MPYA

  Thursday, June 03, 2021

  MBAPPE, GRIEZMANN WAFUNGA UFARANSA YAICHAPA WALES 3-0

  MABAO ya Kylian Mbappe dakika ya 34, Antoine Griezmann dakika ya 47 na Ousmane Dembele dakika ya 79 jana yaliipa Ufaransa ushindi wa 3-0 dhidi ya Wales katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Allianz Riviera Jijini Nice - siku ambayo Karim Benzema alikosa penalti akiichezea nchi yake kwa mara ya kwanza baada ya miaka sita 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE, GRIEZMANN WAFUNGA UFARANSA YAICHAPA WALES 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top