• HABARI MPYA

  Sunday, June 13, 2021

  ENGLAND YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA CROATIA 1-0 WEMBLEY

   WENYEJI, England wameanza vyema Fainali za Euro 2020 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi Croatia katika mchezo wa Kundi D jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo, mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling dakika ya 57 akimalizia pasi ya kiungo wa Leeds United, Kalvin Phillips.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAANZA VYEMA EURO 2020, YAICHAPA CROATIA 1-0 WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top