• HABARI MPYA

  Wednesday, June 02, 2021

  NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU LEO RUANGWA

   TIMU ya Namungo FC imelazimishwa sare ya 1-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Mshambuliaji Jeremiah Juma dakika ya 73, kabla ya Abeid Athumani kuisawazishia Namungo FC dakika ya 81.
  Kwa matokeo hayo, Prisons inaendelea kushika nafasi ya saba kwa pointi zake 41 sasa sawa na Namungo ya nane, Polisi Tanzania ya sita na KMC ya tano zikizidiana tu wastani wa mabao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU LEO RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top