• HABARI MPYA

  Sunday, June 06, 2021

  UCHAGUZI MKUU WA TFF KUFANYIKA MKOANI TANGA AGOSTI 7 FOMU YA KUGOMBEA URAIS YAUZWA SH 500,000 UJUMBE 200,000

   UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utafanyika Agosti 7, mwaka huu mkaoni Tanga, imeelezwa.
  Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF iliyotolewa na Mwenyekiti wake, Wakili Kibamba imesema kwamba safari hii kutakuwa na nafasi mbili tu za kugombea, Rais na Ujumbe, ambayo itakuwa na watu sita.
  Na nafasi hizo fomu zake zinatolewa kwa gharama ya Sh. 500,000 Urais na Sh. 200,000 Ujumbe na fomu zitaanza kutolewa keshokutwa, Juni 8 katika ofisi za TFF au tovuti ya shirikisho hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UCHAGUZI MKUU WA TFF KUFANYIKA MKOANI TANGA AGOSTI 7 FOMU YA KUGOMBEA URAIS YAUZWA SH 500,000 UJUMBE 200,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top