• HABARI MPYA

  Sunday, June 27, 2021

  CZECH YAITUPA NJE UHOLANZI EURO 2020, KUKUTANA NA DENMARK

  JAMHURI ya Czech imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi leo Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary.
  Mabao ya Czech yamefungwa na Tomas Holes dakika ya 68 na Patrik Schick dakika ya 80 na kwa ushindi huo itakutana na mshindi kati ya Denmark Jumamosi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CZECH YAITUPA NJE UHOLANZI EURO 2020, KUKUTANA NA DENMARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top